APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 5,316 Reaction score 9,596 Feb 14, 2020 #21 Chai chapati mbili asubuhi- 500 Ugali dagaa mchana -1,000 Nauli 300 kwenda 300 kurudi 600 Wali maharage usiku 1,000 Ganja ya jero, embassy 2 1,000 Bando la internet MB 300 500 4,600
Chai chapati mbili asubuhi- 500 Ugali dagaa mchana -1,000 Nauli 300 kwenda 300 kurudi 600 Wali maharage usiku 1,000 Ganja ya jero, embassy 2 1,000 Bando la internet MB 300 500 4,600
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 8,118 Reaction score 13,547 Feb 14, 2020 #22 Mtu umeambiwa iwe budget ya chakula halafu unaweka mambo ya nauli, bundle etc ili iweje? Wabongo bado sana kwenye kuelewa maswali na kujibu wanachoulizwa!
Mtu umeambiwa iwe budget ya chakula halafu unaweka mambo ya nauli, bundle etc ili iweje? Wabongo bado sana kwenye kuelewa maswali na kujibu wanachoulizwa!