BAJETI ya siku

BAJETI ya siku

Chai chapati mbili asubuhi- 500
Ugali dagaa mchana -1,000
Nauli 300 kwenda 300 kurudi 600
Wali maharage usiku 1,000
Ganja ya jero, embassy 2 1,000
Bando la internet MB 300 500
4,600
 
Mtu umeambiwa iwe budget ya chakula halafu unaweka mambo ya nauli, bundle etc ili iweje?

Wabongo bado sana kwenye kuelewa maswali na kujibu wanachoulizwa!
 
Back
Top Bottom