Bajeti ya TAMISEMI 2025/26 yaongezeka kwa asilimia 16.38, yatengwa trilioni 11.783 kuboresha huduma na miundombinu

Bajeti ya TAMISEMI 2025/26 yaongezeka kwa asilimia 16.38, yatengwa trilioni 11.783 kuboresha huduma na miundombinu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepitisha kwa kauli bajeti ya TAMISEMI shilingi trilioni 11.783 kwa mwaka 2025/26, ikiwa ni ongezeko kutoka trilioni 10.125 mwaka 2024/25 imeongezeka kwa takribani asilimia 16.38 ikilinganishwa na mwaka wa fedha uliopita. Bajeti hii inalenga kuimarisha huduma za jamii na maendeleo ya miundombinu katika ngazi za serikali za mitaa.

Pia, Soma: TAMISEMI yawasilisha Bungeni makadirio ya bajeti yake ya mwaka 2025/26 Aprili 16, 2025

Maelezo: Kati ya bajeti hiyo, Shilingi trilioni 3.95 zimetengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ambapo Shilingi trilioni 2.5 ni fedha za ndani na Shilingi trilioni 1.45 ni fedha za nje na Shilingi bilioni 613.44 kutoka mapato ya ndani ya halmashauri. Shilingi trilioni 7.84 ni kwa matumizi ya kawaida, ikijumuisha mishahara na matumizi mengineyo.

1747292302194.png
 

Attachments

Back
Top Bottom