Bajeti ya Tanzania+Uganda=Kenya

Point ya nguvu, naungana na wewe kwa hili
 
huu ushindani wa Ukenya na Utanzania ni shinda sana umesema poa sana mkuu...hii ndio mentality ya kupiga hatua sio kuangalia nani zaidi katika hiki au kile...
 
Kenya Inadaiwa zaidi ya 53%
Wakati sisi tupo kwenye 20+%
Pia Asilimia kubwa ya Bajeti ya kenya
inaishia kwenye Ufisadi
naweza sema 40% yapesa yote hiyo Huishia kwenye Matumbo ya wanasiasa wachache.
Hiyo ni kweli kabisa
Kuna jamaa aliwahi kusema kuwa Kenya ni waziri kwenye paper work lkn ukija kwenye reality haifanani na makaratasi yanavyoelezea,
LENGO LA budget kubwa inayojitosheleza ni kuleta maendeleo kwa watu na kuchochea harakati za uchumi lkn mbona in reality haiko hivyo kwa Kenya?
Ni kwa sababu wajanja wanaicook budget mwisho
Wapigaji wanapiga kiulaini.
 
kenya awakutaifisha viwanda na mashamba binafsi , sisi tulichukua viwanda na mashamba , tukaua utalii. sasa umnategemea tutawapata wa kenya ? jspo kenya ufisadi juu lakini wametuacha sana
 
Huu ni mwezi wa ngapi vile?? Miezi yote hiyo ulikuwa unahangaika kujumlisha tu
 
H
Hakuna kitu kinanichanganya kama hii issue ya GDP.kwa mwenye uelewa mpana angenipa somo hapa.mfano je nchi ikikopa hio pesa itajumuishwa kwenye Gdp? Au wata i substract? Na kwavile Gdp inahesabiwa ktk dola sasa inakuaje kama nchi ikiamua kupandisha thaman ya pessa ghafla.. Hapo gdp itakua imepanda ghafla? Vp kuhusu informal sector..mfano nchi kama tz ni mojawapo ya nchi zenye kiwango cha juu cha informal sector sasa kwann wasizihesabu ktk gdp? Na nchi zenye kiwango kidogo cha informal sekta kwanin ziwekwe juu wakat tukijua nchi zenye kias cha juu cha informal sector hazijahesabu kila kitu? Vp kama watu wachache ndio wenye pesa katika nchi na wanamilik kila kitu..utasema hio nch ina uchumi mkubwa?
 
hahaaa!
 
GDP ya PPP ndiyo inayoleta maana halisi. Kenya na Tanzania maisha yao na maendeleo yao yapo sawa, hakuna tofauti kubwa.
 
GDP ya PPP ndiyo inayoleta maana halisi. Kenya na Tanzania maisha yao na maendeleo yao yapo sawa, hakuna tofauti kubwa.
Heaven and Earth knows Kenya and Tanzania are worlds apart but to sooth your hurt ego we will let you be.
 
Heaven and Earth knows Kenya and Tanzania are worlds apart but to sooth your hurt ego we will let you be.
What about the national debt? Does borrowed money included in Gdp?
 
Acha utani braza,unayajua maisha ya kijijino bongo au unasimuliwa? Hakuna mbogamajani japo mchicha sembuse chai?
 
K
Tutafika kwa viwanda vipi vilivyojengwa so far? Au ndo hivi vyerehani? Muda utaongea
 
Kenya budgets inaendashwa na dirty money from Somalia and South Sudan wars, nchi zote hizo hazina central bank, na madawa ya kulevya kwani Kenya ni transit route ya madawa hayo.
 
Kenya budgets inaendashwa na dirty money from Somalia and South Sudan wars, nchi zote hizo hazina central bank, na madawa ya kulevya kwani Kenya ni transit route ya madawa hayo.
Hahahaha... Kenya since post independence has been East Africa's largest economy wakati Somalia na Sudan ilikuwa stable. Rudi vijiweni uje na porojo nyingine Hii pelekea geza na joto la jiwe.
 
Economically, according to the EAC's national budgets announced in jully this year with Kenya in march, the total Tanzanian and Ugandan budgets equals to the Kenyan one.

Tanzania (30.75tr Tsh) + Uganda(21.32tr Tsh) = Kenya(52.04tr Tsh)

Kama una akili timamu, utakuwa unaelewa hizi pesa za budget ya Kenya zinaishia wapi, I assume you are smart enough to know this. Just go to TZ uone maendeleo, TZ ya leo si ile ya early 1980's.
 
Hahahaha... Kenya since post independence has been East Africa's largest economy wakati Somalia na Sudan ilikuwa stable. Rudi vijiweni uje na porojo nyingine Hii pelekea geza na joto la jiwe.
Naomba nielimishe..hii GDP ya kenya ina iclude borrowed money? Au hii pesa ya mkopo hawajaihesabu? Na ngapi basi true Gdp ya kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…