- Thread starter
- #41
Point ya nguvu, naungana na wewe kwa hiliIli kupata wazo kubwa unaanza na wazo dogo, fikiria nina duka moja na mwenzangu tumeanza wote lakini ana maduka tano lakini kwa uzembe wangu. Siku nikizika uzembe si ajabu nikampita mwenye maduka matano. Hivyo ndugu yangu usikate tamaa, kila kitu tunacho chapa kazi. Unaruhusu mpaka wanasema Tanzanite ni ya kwao hadi mlima Kilimanjaro ni wao, huoni anatubidi kuamka? Hizo statistics huenda ni kweli lakini mda tunao. Ukusema hatuwezi unakosea, chapa kazi kizalendo