hapana hawaja tuacha figure za budget hazimanishe economic prosperity.....average life ya mjaluo wa Kenya haina tofouti na ya mjaluo wa Tanzania uende ya mKenya nimbaya zaidi...so wanao faidika na budget sio average kenyan kabisaWakenya walishatuaacha long. Tukomae tu tuwafukuzie
Tanzania debt to GDP ni about 38% work it out on that line utapata jibu.Naomba nielimishe..hii GDP ya kenya ina iclude borrowed money? Au hii pesa ya mkopo hawajaihesabu? Na ngapi basi true Gdp ya kenya?
Nimepita kenya maeneo tofauti nimeona kwa macho yangu.hapana hawaja tuacha figure za budget hazimanishe economic prosperity.....average life ya mjaluo wa Kenya haina tofouti na ya mjaluo wa Tanzania uende ya mKenya nimbaya zaidi...so wanao faidika na budget sio average kenyan kabisa

Rudi shule kaka.Ukitoa 53% from kenyan 70 billion dolar Gdp unapata 33 billion ambayo ndio true kenyan gdp.Kwa tz ukiondoa 38% katika Gpd ya 47 billion unabaki na 30 billion. Kwahio tofauti ya kenyan Gdp na tz ni 3 billion. Sasa kelele za nini?
Tupigie mahesabu tuone hapahapa.Rudi shule kaka.
Sina muda kaka.Tupigie mahesabu tuone hapahapa.