Bajeti ya Tanzania+Uganda=Kenya

Bajeti ya Tanzania+Uganda=Kenya

Wakenya walishatuaacha long. Tukomae tu tuwafukuzie
 
hapana hawaja tuacha figure za budget hazimanishe economic prosperity.....average life ya mjaluo wa Kenya haina tofouti na ya mjaluo wa Tanzania uende ya mKenya nimbaya zaidi...so wanao faidika na budget sio average kenyan kabisa
 
Naomba nielimishe..hii GDP ya kenya ina iclude borrowed money? Au hii pesa ya mkopo hawajaihesabu? Na ngapi basi true Gdp ya kenya?
Tanzania debt to GDP ni about 38% work it out on that line utapata jibu.
 
hapana hawaja tuacha figure za budget hazimanishe economic prosperity.....average life ya mjaluo wa Kenya haina tofouti na ya mjaluo wa Tanzania uende ya mKenya nimbaya zaidi...so wanao faidika na budget sio average kenyan kabisa
Nimepita kenya maeneo tofauti nimeona kwa macho yangu.
Tuna tofauti.
Kilimo-Ukipita barabara za kenya utaona ardhi ilivyolimwa.
Elimu -Ukipita barabara za kenya utaona wingi wa shule zote za serikali na za binafsi.
Barabara - hapa ndo tumewazidi
Afya- Jana sisi waziri ndo katangaza upandikizwaji wa figo. Mi nilimwona mkenya nesi wa kiume aliyepandikizwa figo hospitali ya Moi ( huku hadhi yake kama Mbeya referral) mwaka 2010. Kenyatta walikuwa wameanza zamani

Mishahara ya wafanyakazi - Wale madaktari wangeajiriwa Kenya wangelipwa mara tatu zaidi ya hapa.

Heri kubwa ninayoiona kwa watanzania na wakenya ni ustaarabu na utulivu katika jamii. Wakenya walinishinda hilo.
 
Kenya ni kame sana,lazima budget iwe kubwa ili kussuply msosi kwa maeneo kame!
 
Ukitoa 53% from kenyan 70 billion dolar Gdp unapata 33 billion ambayo ndio true kenyan gdp.Kwa tz ukiondoa 38% katika Gpd ya 47 billion unabaki na 30 billion. Kwahio tofauti ya kenyan Gdp na tz ni 3 billion. Sasa kelele za nini?
 
Rudi shule kaka.
 
Back
Top Bottom