Bajeti ya Tanzania+Uganda=Kenya

Bajeti ya Tanzania+Uganda=Kenya

Economically, according to the EAC's national budgets announced in jully this year with Kenya in march, the total Tanzanian and Ugandan budgets equals to the Kenyan one.

Tanzania (30.75tr Tsh) + Uganda(21.32tr Tsh) = Kenya(52.04tr Tsh)
UHURUTO wapo czr
 
Pesa Mingi inalipia Pesa za madeni ambazo zimeliwa na Mafisadi, Pamoja na Mishahara Mikubwa lakini kazi Kidogo
 
20% mnalipia Interest on Loan,just interest bado principal amount hamjalipa.....
 
Kenya Inadaiwa zaidi ya 53%
Wakati sisi tupo kwenye 20+%
Pia Asilimia kubwa ya Bajeti ya kenya
inaishia kwenye Ufisadi
naweza sema 40% yapesa yote hiyo Huishia kwenye Matumbo ya wanasiasa wachache.
 
Hujui chochote. 2Tz+2Ug=1Kenya! Haya basi mahesabu yako rekebisha jombaa.
 
Kenya is EA largest economy...what do you expect? Kenya is more prosperous...a good example is that South Africa's budget is several times bigger than Nigeria's budget despite the fact that Nigeria has a larger economy...Kenya sio nchi ya kufananisha na nchi za kipumbavu kama Uganda na tz..nchi hzi kafananish na Somalia
 
Kenya Inadaiwa zaidi ya 53%
Wakati sisi tupo kwenye 20+%
Pia Asilimia kubwa ya Bajeti ya kenya
inaishia kwenye Ufisadi
naweza sema 40% yapesa yote hiyo Huishia kwenye Matumbo ya wanasiasa wachache.
data unazo ama ni kukurupuka? budget ya Kenya kubwa inaishia kwa wafanyikazi, elimu, uzalishaji wa umeme na ujenzi wa miundombinu...nina data mie
 
Bajeti kubwa bila maelezo ya R.O.I haituambii kitu. Pia inawezekana bajeti ndogo kiuchumi ikawa nzuri zaidi ya kubwa.
 
ila pia upo right sababu hata uchumi wa Uganda na wa tz =uchumi wa Kenya
upload_2017-11-17_20-31-54.png
upload_2017-11-17_20-32-16.png

3.PNG
 
Viherehere wengine sijui wanatoka wapi. Hivi kati ya mm na wewe nani empty minded?
Mimi nimetoa data za pesa ambayo kila nchi iliitangaza kwa mwaka wa budget bila kujali itatumikaje, sasa NGUCHIRO kama wewe huwezi kunielewa.

Na kama ni mwanauchumi basi kazi tunayo,
Ni kweli kichwa chako kinatumika kukuza nywele tu, nothing more!
Sorry!
 
Economically, according to the EAC's national budgets announced in jully this year with Kenya in march, the total Tanzanian and Ugandan budgets equals to the Kenyan one.

Tanzania (30.75tr Tsh) + Uganda(21.32tr Tsh) = Kenya(52.04tr Tsh)
Halafu ukija huku basi jibidiishe kidogo, usikurupuke namna hiyo hadi tunakuona kama kijana wa kidato cha tatu.
Jaribu kushirikisha ubongo unapofungua nyuzi kama hizi,.
 
Tanzania kwanza hata serikali haiokoti hela za kutosha, yaani taxes...watakuwa aje na budget kama ya EA's largest economy?
 
Back
Top Bottom