T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Arms procurement unaita showcase. Showcase iko Ufaransa wiki hii walikuwa na Eurosatory maonesho ya silaha na makampuni kibao yakaleta silaha zao na concept zao, Rheinmetall wakaja na kifaru kipya kama successor wa Leopald 2.Ile vita ni showcase ya silaha, ndio maana mziki wake umekubalika pale so ufaransa inasubiri tu serikali iipe go ahead kampuni kuiuzia ufaransa maana ambaye alishapewa kibali ni mwingereza.
Na F-35 zilizouzwa mataifa mengi washirika zikitokana na showcase ya vita gani. Au China aliyenunua S 400 na Uturuki waliziona kwenye vita gani. Its simply AeroViroment hawakuwa tiyari kuziua nje au Marekani haikuwa inaruhusu, ila wanaotaka ni washirika haijawakatalia