Bajeti ya wizara ya ulinzi ,Marekani mwaka 2022 ni dola bilion 700 sawa na trilion zaid ya 1400 ,why anamsaidia ukrain trilion 2

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
Hapa Ukraine ajiulize mara mbili anasaidiwa au anaangamizwa ,haiingii akilini mtu anakula mboga saba alafu anakupa kipande cha silesi eti kakupenda ,
Kwa kamsaada hako usitegemee utamshinda Russia kwa hako kamsaada.
Yani wmarekani siwaelewi kabisaaa,msaada wa dola million 800 mdogo sana ,ukizingatia Ukraine hapambani na mapimbi,anapambana na taifa hatari lenye uwezo wa viwango vya heavy weight ,
Masanja namshauri aweke silaha chini amwombe radhi Putin maana ,hakuna anachosaidiwa Bali wanamwangamiza wagawane nyara
 
Vita ya Russia na Ukraine, America anahusika kivipi. Nashanga vita wanapigana wengine mnamsingizia mu America
 
Wee unataka ampe shs tril 100. Moscow siitakuwa majivu.?? Huna hata huruma wewe ni binadamu wa wawapi

Hizo hizo chenchi maiti ndo zinazo mkomesha putin.
Urusi Sasa hivi anauwezo wa kufanya marekani kuwa majivu Kwa dakika chache Tu na pia warusi wako mbele Sana ya marekani kwenye utayari wa Vita vya nuclear.USA is nothing mbele ya warusi.
 
Congress imeitengea Ukraine US$ 14 billion, lkn hadi sasa pesa iliyokwisha tumika ni US$ 3.2 billion pekee na ndio Russia anahangaika kubadilisha front line kila siku na kuendelea kuua raia wasio na hatia na kuharibu miundombinu.
 
Vipi kule afghanistan walitenga kiasi gani kwenda kuwatoa taliban halafu wameondoka wamewaacha taliban 🤣🤣
 
Urusi Sasa hivi anauwezo wa kufanya marekani kuwa majivu Kwa dakika chache Tu na pia warusi wako mbele Sana ya marekani kwenye utayari wa Vita vya nuclear.USA is nothing mbele ya warusi.
Kwaiyoo marekani hawezi kuifanya majivu urusi?

Sisi wamerakani wa tanzania tumeachia mjukuu wetu zelenski mpambane nae bdo anawatoa jasho babu yao mtatuweza?

Akirusha hiyoo nuclear aandae watu wakuwatunza watoto na wajukuu zao.
 
Kiwango cha msaada hupangwa na mtoaji na sio mpokeaji.
 
Kwaiyoo marekani hawezi kuifanya majivu urusi?

Sisi wamerakani wa tanzania tumeachia mjukuu wetu zelenski mpambane nae bdo anawatoa jasho babu yao mtatuweza?

Akirusha hiyoo nuclear aandae watu wakuwatunza watoto na wajukuu zao.
Sisi warusi tunaendelea kutengeneza nchi ndani ya Ukraine yaani Yale maeneo maalum kiuchumi alafu baadaye Tunapitisha Kura za maoni ili zijiunge urusi Dola yetu itaendelea kutanuka Kwa Sababu ya ujinga wenu.Donesky na Donbas inaenda kuwa sehemu ya urusi.ukraine will not be the same again.
 
Sawa raia mmoja toka ulongoni gongo la mboto
Ukijumlisha silaha zote za NATO hawawezi kufikia za warusi.Kwa hiyo unaona mwenyewe warusi wanaeweza kuipiga ulaya na USA Kwa nuclear Kwa mara 1 na kuwasambaratisha ingawa na yeye pia hatabaki salama so hakuna wa kumgusa mwenzake Kati ya nchi hizo.wakipigana Hao ujue ni mwisho wa dunia.
Screenshot_20220426-160451%20(1).jpg
 
Urusi Sasa hivi anauwezo wa kufanya marekani kuwa majivu Kwa dakika chache Tu na pia warusi wako mbele Sana ya marekani kwenye utayari wa Vita vya nuclear.USA is nothing mbele ya warusi.
Hii Marekani unayoizungumzia hapa itakuwa ipo Mwananyamala kwa kopa.
 
Hapa Ukraine ajiulize mara mbili anasaidiwa au anaangamizwa ,haiingii akilini mtu anakula mboga saba alafu anakupa kipande cha silesi eti kakupenda ,
Kwa kamsaada hako usitegemee utamshinda Russia kwa hako kamsaada.
Yani wmarekani siwaelewi kabisaaa,msaada wa dola million 800 mdogo sana ,ukizingatia Ukraine hapambani na mapimbi,anapambana na taifa hatari lenye uwezo wa viwango vya heavy weight ,
Masanja namshauri aweke silaha chini amwombe radhi Putin maana ,hakuna anachosaidiwa Bali wanamwangamiza wagawane nyara
Tirioni 2 kwa nchi moja ni kubwa sana kuwasaidia, wewe unafahamu US ana jeshi maeneo mengi ya dunia , huko kote pesa inatumika
 
Back
Top Bottom