Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Vita ya Russia na Ukraine, America anahusika kivipi. Nashanga vita wanapigana wengine mnamsingizia mu AmericaHapa Ukraine ajiulize mara mbili anasaidiwa au anaangamizwa ,haiingii akilini mtu anakula mboga saba alafu anakupa kipande cha silesi eti kakupenda ,
Kwa kamsaada hako usitegemee utamshinda Russia kwa hako kamsaada.
Yani wmarekani siwaelewi kabisaaa,msaada wa dola million 800 mdogo sana ,ukizingatia Ukraine hapambani na mapimbi,anapambana na taifa hatari lenye uwezo wa viwango vya heavy weight ,
Masanja namshauri aweke silaha chini amwombe radhi Putin maana ,hakuna anachosaidiwa Bali wanamwangamiza wagawane nyara
Urusi Sasa hivi anauwezo wa kufanya marekani kuwa majivu Kwa dakika chache Tu na pia warusi wako mbele Sana ya marekani kwenye utayari wa Vita vya nuclear.USA is nothing mbele ya warusi.Wee unataka ampe shs tril 100. Moscow siitakuwa majivu.?? Huna hata huruma wewe ni binadamu wa wawapi
Hizo hizo chenchi maiti ndo zinazo mkomesha putin.
Alisikika mchambuzi mmoja wa maswala ya vita toka buza🤣😅😇😂😂😂🤕🤒Urusi Sasa hivi anauwezo wa kufanya marekani kuwa majivu Kwa dakika chache Tu na pia warusi wako mbele Sana ya marekani kwenye utayari wa Vita vya nuclear.USA is nothing mbele ya warusi.
Vipi kule afghanistan walitenga kiasi gani kwenda kuwatoa taliban halafu wameondoka wamewaacha taliban 🤣🤣Congress imeitengea Ukraine US$ 14 billion, lkn hadi sasa pesa iliyokwisha tumika ni US$ 3.2 billion pekee na ndio Russia anahangaika kubadilisha front line kila siku na kuendelea kuua raia wasio na hatia na kuharibu miundombinu.
Kwaiyoo marekani hawezi kuifanya majivu urusi?Urusi Sasa hivi anauwezo wa kufanya marekani kuwa majivu Kwa dakika chache Tu na pia warusi wako mbele Sana ya marekani kwenye utayari wa Vita vya nuclear.USA is nothing mbele ya warusi.
Uwezo huo anao labda wewe hujui au husomi.Alisikika mchambuzi mmoja wa maswala ya vita toka buza[emoji1787][emoji28][emoji56][emoji23][emoji23][emoji23][emoji856][emoji855]
Ni hii hii UNITED STATES OF AMERICA ambayo inauwezo wa kuzuia na kujibu kwa haraka shambulio lolote la nyuklia au unaongelea TANZANIA?😅🤣😅Uwezo huo anao labda wewe hujui au husomi.
Sisi warusi tunaendelea kutengeneza nchi ndani ya Ukraine yaani Yale maeneo maalum kiuchumi alafu baadaye Tunapitisha Kura za maoni ili zijiunge urusi Dola yetu itaendelea kutanuka Kwa Sababu ya ujinga wenu.Donesky na Donbas inaenda kuwa sehemu ya urusi.ukraine will not be the same again.Kwaiyoo marekani hawezi kuifanya majivu urusi?
Sisi wamerakani wa tanzania tumeachia mjukuu wetu zelenski mpambane nae bdo anawatoa jasho babu yao mtatuweza?
Akirusha hiyoo nuclear aandae watu wakuwatunza watoto na wajukuu zao.
Hiyo hiyo wamarekani Kwa urusi ni chamtoto kivita.kafuatilie na kasomeNi hii hii UNITED STATES OF AMERICA au unaongelea TANZANIA?[emoji28][emoji1787][emoji28]
Sawa raia mmoja toka ulongoni gongo la mbotoHiyo hiyo wamarekani Kwa urusi ni chamtoto kivita.kafuatilie na kasome
Ukijumlisha silaha zote za NATO hawawezi kufikia za warusi.Kwa hiyo unaona mwenyewe warusi wanaeweza kuipiga ulaya na USA Kwa nuclear Kwa mara 1 na kuwasambaratisha ingawa na yeye pia hatabaki salama so hakuna wa kumgusa mwenzake Kati ya nchi hizo.wakipigana Hao ujue ni mwisho wa dunia.Sawa raia mmoja toka ulongoni gongo la mboto
Hii Marekani unayoizungumzia hapa itakuwa ipo Mwananyamala kwa kopa.Urusi Sasa hivi anauwezo wa kufanya marekani kuwa majivu Kwa dakika chache Tu na pia warusi wako mbele Sana ya marekani kwenye utayari wa Vita vya nuclear.USA is nothing mbele ya warusi.
Tirioni 2 kwa nchi moja ni kubwa sana kuwasaidia, wewe unafahamu US ana jeshi maeneo mengi ya dunia , huko kote pesa inatumikaHapa Ukraine ajiulize mara mbili anasaidiwa au anaangamizwa ,haiingii akilini mtu anakula mboga saba alafu anakupa kipande cha silesi eti kakupenda ,
Kwa kamsaada hako usitegemee utamshinda Russia kwa hako kamsaada.
Yani wmarekani siwaelewi kabisaaa,msaada wa dola million 800 mdogo sana ,ukizingatia Ukraine hapambani na mapimbi,anapambana na taifa hatari lenye uwezo wa viwango vya heavy weight ,
Masanja namshauri aweke silaha chini amwombe radhi Putin maana ,hakuna anachosaidiwa Bali wanamwangamiza wagawane nyara