Bajeti ya Yanga ni Tsh. Bilioni 24.5

Bajeti ya Yanga ni Tsh. Bilioni 24.5

Young walipata hasara ya billion 1 mwaka huu..jE simba ilipata ninj.Tunataka simba iweke vitu vyote wazi kama young ili tujue fedha zilipokwenda kutumika
 
IMG-20240609-WA0334.jpg
 
Kale ka press ka Mkwabi michicha boxer kaliletwa ili kufanya watu wasifatilie mjadala wa Mkutano mkuu wa Yanga
Anyway Gamond bado yupo huko ukoloni hadi itajulikana 20 blion imewekwa au bado.
 
Yani hii Yanga imezidi tambo sana wanatumia upepo mbaya wa Simba kucheza na akili za mashabiki wao ila niwaambie kitu

SISI PEOPLE TUTAKUTANA
Jamani, bajeti ni mapato na matumizi, sio mapato tu. Ndio maana inatakiwa ibalance, yaani net ya mapato na matumizi iwe zero. Tutaendelea kueleweshana taratibu
 
Jamani, bajeti ni mapato na matumizi, sio mapato tu. Ndio maana inatakiwa ibalance, yaani net ya mapato na matumizi iwe zero. Tutaendelea kueleweshana taratibu
Sijaelewa, ufafanuzi please
 
Tujitahidi kupata vikombe vingi mda huu maana wafadhili wetu yakianza kuvurugika huwa hali inakuwa mbaya
 
Back
Top Bottom