Sawa kabisa,na hizo ni luxury gopds aka articles of ostentation. zina violate law of demand,when the price increases it will not lead to fall in demand.Naona hapa mjadala mkubwa ni kuhusu elasticity of demand. Naamini hadi kufikia hatua hiyo economists watakuwa wametumiwa ipasavyo
Naam ni kukomoana na pia uwezo finyu wa kutoona mbali. Kwa kutoza milioni 10 kwa miaka mitatu wanaweza kupata watu tuseme 5,000 nchi nzima lakini kama wangekuwa wanatoza milioni 2.5 wangeweza kupata wateja laki mbili nchi nzima na hivyo pato kuwa kubwa zaidi.
Mkuu, Kuna vitu vikiwa cheap havileti maana tena.Naam ni kukomoana na pia uwezo finyu wa kutoona mbali. Kwa kutoza milioni 10 kwa miaka mitatu wanaweza kupata watu tuseme 5,000 nchi nzima lakini kama wangekuwa wanatoza milioni 2.5 wangeweza kupata wateja laki mbili nchi nzima na hivyo pato kuwa kubwa zaidi.
Mkuu, Kuna vitu vikiwa cheap havileti maana tena.
Private number kuwa expensive ndio selling point. Watu wanataka kuwa na private number kwa sababu ya uchache unao sababishwa na gharama,inafanya waonekane.
Unakuta mtu ana nunua saa dola 30,000 sio kwa sababu it gives better time than the others, ni kwa sababu ya gharama. Probably, saa hiyo hiyo ikipunguzwa bei na kuuzwa dola 3000 watu wanaweza wasinunue na wakaishia kufunga kiwanda.
Mimi binafsi siwezi kununu gari ya milioni 100+ halafu ni weke private number ambayo watu wengi wanaweza ku afford, it makes the car look a bit tacky. Ni bora kuweka number ya kawaida.
Mkuu hapa hakuna weledi wa kuongeza mapato ila kuendeleza falsafa ya wanaoishi kama malaika waishi kama mashetani (kwa tafsiri ya mkuu mashetani ni raia wa kawaida na masikini)Naam ni kukomoana na pia uwezo finyu wa kutoona mbali. Kwa kutoza milioni 10 kwa miaka mitatu wanaweza kupata watu tuseme 5,000 nchi nzima lakini kama wangekuwa wanatoza milioni 2.5 wangeweza kupata wateja laki mbili nchi nzima na hivyo pato kuwa kubwa zaidi.
Mi naona kama wameweka ivo ili wa afford wachache ili iwe na thamani,wakipunguza vei wengi wataweka alafu itakua vurugu mtu ana ist ataweka na yeyeNaam ni kukomoana na pia uwezo finyu wa kutoona mbali. Kwa kutoza milioni 10 kwa miaka mitatu wanaweza kupata watu tuseme 5,000 nchi nzima lakini kama wangekuwa wanatoza milioni 2.5 wangeweza kupata wateja laki mbili nchi nzima na hivyo pato kuwa kubwa zaidi.