Mayala B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 2,109
- 5,284
Jamaa ni muoga wa papuchi ile mbaya
Ntakusaidia kujibu waache wauluze[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakusaidia kujibu waache wauluze[emoji3][emoji3]
Nisaidie
Natamani mnoo...sijui nna nn jaman..bak kanipa dislike kbs
Sasa si nakusaidia kujibu ndio maana nimemuuliza muhusika kama anatafuta mume kwanza kbla ya kumjibuNimecheka ile mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
anaohopa wasiojulikana[emoji3][emoji3]Jamaa ni muoga wa papuchi ile mbaya
anaohopa wasiojulikana[emoji3][emoji3]
anaohopa wasiojulikana[emoji3][emoji3]
Tumeyaona ya Ben Saanane, Lissu, Azory na Mdude chadema ni lazima akili iwe kichwani badala ya kukurupuka bila kutafakari na kuchukua tahadhari. Watanzania wa leo baadhi yao si wema hata kidogo.
Ahsante sana [emoji177][emoji257]
Hahaha watu hawaaminiki mkuu hata wewe inawezekana ni wasiojulikana[emoji3][emoji3]Kwahiyo anamuogopa manengelo anaweza kuwa wasiojulikana
Ni kweli unakuta mtu anajichekesha chekesha kumbe ndo ndoano yenyeweHahaha watu hawaaminiki mkuu hata wewe inawezekana ni wasiojulikana[emoji3][emoji3]