upupu255
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 418
- 550
“Wananchi kesho mtaona ladha ya kiutofauti kutoka kwetu. Tumepata kocha mpya ambaye amekuja na mbinu zake. Wachezaji wetu tupo nyuma yake kuhakikisha tunafanyia kazi kila mbinu ambayo atatuelekeza. Mwalimu amesisitiza sana nidhamu ya mchezo, bila shaka huo ni wajibu wetu Ili kupata matokeo chanya” - Bakari Mwamnyeto
My take
Ladha ya kitofauti inaanza na kuukataa uchawa, tafadhali kesho msiende kutumika, chukueni mfano kutoka kwa mnyama.
My take
Ladha ya kitofauti inaanza na kuukataa uchawa, tafadhali kesho msiende kutumika, chukueni mfano kutoka kwa mnyama.