Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
- Thread starter
- #21
Sijawahi kuwa na Nia wala kufikiria kuingia kwenye siasa, kwa nafasi iwayo yoyote ile na mahali popote katika nchi hii.Shida yako unaogopa kupoteza kwenye kamali.
Acha ubahili, liko wazi unafikiria kuanza kutoa bakshishi kwa wajumbe. Uoga wako ni kwamba Majaliwa akigombea unajua utoboi.
Hakuna watoto humu wasiojua motives na uoga wako wa kupoteza hela kwa wajumbe; iwapo Majaliwa atagombea.
Unakuja humu kulazimisha PM atoe msimamo, ujue mipango yako. We mvae tu kama unataka jimbo, vita mbinu.
Prisoner dilemma
Siwezi kumlazimisha atoe tamko na Sina sababu.
Nimekupa za jikoni,chin ya carpet, hutaki unaacha.