Pre GE2025 Bakari Nampenya Kalembo anafaa kuwa Mrithi wa Kassimu Majaliwa Ruangwa Ruangwa 2025 Uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sijawahi kuwa na Nia wala kufikiria kuingia kwenye siasa, kwa nafasi iwayo yoyote ile na mahali popote katika nchi hii.
Siwezi kumlazimisha atoe tamko na Sina sababu.

Nimekupa za jikoni,chin ya carpet, hutaki unaacha.
 
Kwann unahisi upepo unavuma vibaya kwake?
Huo ndo ukweli unganisha dot ..kupelekewa naibu PM, Naibu kutumika kwenye platform za kimataifa, pm akiwa bench,mfano mkutano wa nishati uliokutanisha Marais zaidi ya 25.

Yeye yupo Bungeni, Dotto yupo mkutanoni,ile clear indicator kuwa upepo unavuma vibaya.
 
Hilo jimbo ni langu, Kassim akiachia tu, anayefuata ni mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…