Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli huwa haujifichi, punguza mahaba na mapenzi!!!!!!!!!! Raisi mwenyewe amekiri, wewe mpiga promo ni nani??????????
Asked if Bakhmut had fallen to Russia, Mr Zelenskyy said: "You have to understand that there is nothing".
"They destroyed everything."
Source: Sky news: 21/05/2023
Kipanya na mkenya mmepagawa mpaka zele kaja kuwazinduaHiyo yenye jina linafanana na la wakuu wenu waarabu.
Hii Wilaya, Latik(Lutsk) ipo Kaskazini Magharibi mwa mji wa Artyomovsk (zamani ikiitwa Bakhmut) umbali wa kilomita Zaidi ya 1000. Sasa kumbe inaonekana Russia wameishafika mbali sana kuelekea Kiev kama huyo uliyemnukuu yupo sahihi.At the same time, our troops maintain defence in the Litak district.
Hii Wilaya, Latik(Lutsk) ipo Kaskazini Magharibi mwa mji wa Artyomovsk (zamani ikiitwa Bakhmut) umbali wa kilomita Zaidi ya 1000. Sasa kumbe inaonekana Russia wameishafika mbali sana kuelekea Kiev kama huyo uliyemnukuu yupo sahihi.
Ha ha haaaa! HAtimaye umekiri Maji ya shingo wakati huu.Ina nini hiyo Bakhmut
President Putin congratulates Russian troops and the mercenary Wagner Group for fully capturing Ukraine's BakhmutKuna siku walisimika bendera usiku wakasema wameiteka Bakhmut yote, siku chache kiongozi wao akaanza kulia lia silaha, akaahidiwa silaha, juzi ghafla akasema wanajeshi wa Urusi wanakimbia mapambano na kwamba hii itasababisha Wagner kuzingirwa, huyu leo ameibuka na kusema Bakhmut yote wameichukua na kwamba anataka Wagner wajiandae kuondoka tarehe 25 ili Warusi waendelee kuilinda.
Sasa hapa taarifa hizi za Ukraine, mapambano bado yapo na ngoma bado mapema.....
======================================
The Ukrainian military has denied that Russian mercenaries have taken complete control of the ruined city of Bakhmut, Donetsk Oblast, contrary to a recent statement by Yevgeny Prigozhin, the founder of the Wagner Group. Ukraine’s defence forces are still holding the line in the area at the entrance to the city from the direction of Kostiantynivka.
Source: Deputy Defence Minister Hanna Maliar on Telegram; Colonel Serhii Cherevatyi, spokesman for the Eastern Group of Forces of the Armed Forces of Ukraine, in a comment for Reuters; a statement by Prigozhin
Quote from Maliar: "There are heavy battles in Bakhmut. The situation is critical.
At the same time, our troops maintain defence in the Litak district.
Currently, our defenders control certain industrial and infrastructure facilities in this area and a residential area."
Details: Cherevatyi also denied the complete loss of Bakhmut.
"This is not true. Our units are fighting in Bakhmut," he said in an interview with Reuters.
![]()
Situation in Bakhmut critical, but defenders control certain areas â Defence Ministry
The Ukrainian military has denied that Russian mercenaries have taken complete control of the ruined city of Bakhmut, Donetsk Oblast, contrary to a recent statement by Yevgeny Prigozhin, the founder of the Wagner Group. Ukraine’s defence forces are still holding the line in the area at the...www.pravda.com.ua
Huyu zele siku hizi mnamfuatilia kuliko mtume Putin, na mtachoka sana
Hapa ni kupeana ukweli, hakuna longo longo!!!hehehe mumeanza kujifunza jiografia ya Ukraine kuliko hata Saudi Arabia yenu
Mk254 kula chuma icho
President Putin congratulates Russian troops and the mercenary Wagner Group for fully capturing Ukraine's Bakhmut
View attachment 2629854
Ina Hiki hapaNimeuliza ina nini hadi mnafia wote hapo na bado imeshindikanaaaa!!!!
Ina Hiki hapa
===
President Zelensky Explains Ukraine's Stance on Bakhmut
Zelensky emphasized the continuing strategic importance of holding on to Bakhmut, as it could serve as a bridgehead for Russia to launch attacks into the heart of Ukraine.
![]()
President Zelensky Explains Ukraine's Stance on Bakhmut
Zelensky emphasized the continuing strategic importance of holding on to Bakhmut, as it could serve as a bridgehead for Russia to launch attacks into the heart of Ukraine.www.kyivpost.com
===
Kikubwa usiukimbie uzi wako, au kuomba Moderators wauchanganye na uzi mwingine. Kaa hapa hapa...ha ha haaaa!Nakomaa na nyie hadi raha.... mumeshindwa kufumua kamji kadogo mumeishia kujitafsiria kila neno linalosemwa na viongozi...
Hapa tunabishana na mtu mwenye matatizo ya akili.Nakomaa na nyie hadi raha.... mumeshindwa kufumua kamji kadogo mumeishia kujitafsiria kila neno linalosemwa na viongozi...
Unapingana na Rais wako Wa neo Nazi Zelensiky, kweli Sasa umewachoka !!! Pole. Lakini, kuwa makini kwa ujuaji wako wa kumpinga watakuondoa kwenye kikosi chenu!! Oohoo!!Hiyo sio sababu tosha ya kumalizia maelfu ya wanajeshi kwenye kamji kadogo kihivyo yaani jeshi ya Urusi limefyekwa na kuishia hapo, mizoga kote.