Bakhmut bado kizaazaa, Wagner wanatafuta sababu za kuondoka

Amekiri wapi, ngoma bado....vilianzia Crimea vitaishia Crimea...
Yaani Bakhmut kamji kadogo lakini kameshindikana kwa supapawa, aibu sana maustadhi mnamtegemea mtume asiye na chochote
 
At the same time, our troops maintain defence in the Litak district.
Hii Wilaya, Latik(Lutsk) ipo Kaskazini Magharibi mwa mji wa Artyomovsk (zamani ikiitwa Bakhmut) umbali wa kilomita Zaidi ya 1000. Sasa kumbe inaonekana Russia wameishafika mbali sana kuelekea Kiev kama huyo uliyemnukuu yupo sahihi.
 
hehehe mumeanza kujifunza jiografia ya Ukraine kuliko hata Saudi Arabia yenu
 
President Putin congratulates Russian troops and the mercenary Wagner Group for fully capturing Ukraine's Bakhmut
 
Nimeuliza ina nini hadi mnafia wote hapo na bado imeshindikanaaaa!!!!
Ina Hiki hapa
===

President Zelensky Explains Ukraine's Stance on Bakhmut​

Zelensky emphasized the continuing strategic importance of holding on to Bakhmut, as it could serve as a bridgehead for Russia to launch attacks into the heart of Ukraine.

===
 
Hiyo sio sababu tosha ya kumalizia maelfu ya wanajeshi kwenye kamji kadogo kihivyo yaani jeshi ya Urusi limefyekwa na kuishia hapo, mizoga kote.
 
Nakomaa na nyie hadi raha.... mumeshindwa kufumua kamji kadogo mumeishia kujitafsiria kila neno linalosemwa na viongozi...
Kikubwa usiukimbie uzi wako, au kuomba Moderators wauchanganye na uzi mwingine. Kaa hapa hapa...ha ha haaaa!
 
Hiyo sio sababu tosha ya kumalizia maelfu ya wanajeshi kwenye kamji kadogo kihivyo yaani jeshi ya Urusi limefyekwa na kuishia hapo, mizoga kote.
Unapingana na Rais wako Wa neo Nazi Zelensiky, kweli Sasa umewachoka !!! Pole. Lakini, kuwa makini kwa ujuaji wako wa kumpinga watakuondoa kwenye kikosi chenu!! Oohoo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…