TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
By Samuel HortiHata mliposimika bendera usiku alitoa hongera ila ngoma ile ile
Kikubwa usiukimbie uzi wako, au kuomba Moderators wauchanganye na uzi mwingine. Kaa hapa hapa...ha ha haaaa!
Hapa tunabishana na mtu mwenye matatizo ya akili.
Unapingana na Rais wako Wa neo Nazi Zelensiky, kweli Sasa umewachoka !!! Pole. Lakini, kuwa makini kwa ujuaji wako wa kumpinga watakuondoa kwenye kikosi chenu!! Oohoo!!
By Samuel Horti
BBC News
Ukraine's President Volodymyr Zelensky says that Bakhmut is completely destroyed - but has denied that Russia has won the bloody battle for the city.
Asked on Sunday whether his forces had control of the eastern Ukrainian city, Mr Zelensky said: "It's a pity, it's a tragedy, but for today Bakhmut is only in our hearts."
His office later clarified that he had not said that the city had fallen.
===
Sasa mnalinda mji kwa kuharibu mji huo? Mkuu bado unaamini AFU Wana askari pale Artyomovsk?
Leo sikuachii, utapotea kama "Kipanya" alivyojificha ...h aha haaKingereza kimekushinda nini, soma hiyo taarifa uielewe, halafu njoo huku Hivi Putin hana washauri, katoa hongera, ngoma bado, jameni aibu
Leta tafsiri yako sahihi ya kiingereza hiki!!! Ha ha haaaa!Kingereza kimekushinda nini, soma hiyo taarifa uielewe
Leo sikuachii, utapotea kama "Kipanya" alivyojificha ...h aha haa
===
Kilochomi kwenye link uliyotoa ni Hiki.
===
Ukrainian forces have partly encircled the besieged eastern city of Bakhmut along the flanks and still maintain control of a private sector in the city, Deputy Defence Minister Hanna Maliar said on Sunday.
She made the remarks on the Telegram messaging app shortly after Russian President Vladimir Putin said the battle had ended with a Russian victory.
====
Tutumie logic
Hivi, Toka kwenye mji wa Chumvi Russsia ndiyo walikuwa wanawazunguka AFU, Sasa Leo imekuwaje Tena " AFU have partly encircled the besieged eastern city" yaani AFU ndiyo wanauzunguka mji?
Bado haujaelewa tu kuwa hawana Chao Tena hapo Artyomovsk?
Leta tafsiri yako sahihi ya kiingereza hiki!!! Ha ha haaaa!
Ha ha hahaaa!!! Lazima ukumbuke madesa yote ya kizungu ulichojifunza na "sumu" utatunywesha lengo upotoshaji wako utimie. Kwa sababu hili si jukwaa la Lugha, ngoja nikuache. Tutakutana huko kwenye Jukwaa la Lugha humu humu JF.Partly encircled, wamezungukwa kiasi sio kote, wao wapo mjini kati kama Posta vile kwa Bongo hapo ila Ukraine wanapiga wakiwa Magomeni, imebidi nishuke kwenye level yako uelewe kitu.
Damu ya Mtz Inalilia kisasi Kwa waliompeleka afie Bakhmut nao wafe hapo hapo[emoji24][emoji24][emoji24]Ina nini hiyo Bakhmut hadi Urusi wameamua kufia wote hapo, kumbuka hapo palitafuna hadi Mtanzania....
Kwani humuoni Kamanda Zele Anavyofurahi???!Kwani operation imeisha?
mmh una Tatizo dogo! [emoji56][emoji56][emoji15][emoji12]Sio urusi. Ni wagner. Private military company inayowatoa makamasi nato. Hapo bado jeshi la Russia wenyewe
Tumemfanya awe mkimbizi siku hizi hakai kabisa Ukraine kawa mzururaji mataifa ya watu kulilia msaada wa kijeshi na silaha na kuombwa uungwaji mkonoKwani humuoni Kamanda Zele Anavyofurahi???!
Put kwishney[emoji134][emoji12]
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Put Anaishi kwenye handaki Kwa woga! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Tumemfanya awe mkimbizi siku hizi hakai kabisa Ukraine kawa mzururaji mataifa ya watu
Ha ha hahaaa!!! Lazima ukumbuke madesa yote ya kizungu ulichojifunza na "sumu" utatunywesha lengo upotoshaji wako utimie. Kwa sababu hili si jukwaa la Lugha, ngoja nikuache. Tutakutana huko kwenye Jukwaa la Lugha humu humu JF.
Mbona hauja update chochote uzi upo vile vile? Mimi sifichwi vitu kwenye maandishi. Ha haaaa!!!Usiondoke, njoo huku upate aibu yeni Hivi Putin hana washauri, katoa hongera, ngoma bado, jameni aibu