Bakhmut bado kizaazaa, Wagner wanatafuta sababu za kuondoka

Mbona hauja update chochote uzi upo vile vile? Mimi sifichwi vitu kwenye maandishi. Ha haaaa!!!

Tulia hapo hapo tumewapa updates tangu mlipoangukia pua pale Kyev
 
Acha uongo hata rais wako Zele ameshakiri kushindwa huko kwenye mkutano wa G7.
 
Tulia hapo hapo tumewapa updates tangu mlipoangukia pua pale Kyev
Hahahaaaa!!! "Kipanya" aje ajifunze kwako. Aisee!!! Ndiyo, Mkuu, tupe habari za Toka Kiev hadi Artyomovsk.
 
Ina nini hiyo Bakhmut hadi Urusi wameamua kufia wote hapo, kumbuka hapo palitafuna hadi Mtanzania....
Pole kipenzi cha mabeberu!! Ila yote maisha itakubidi ukubali tu kuwa Urusi ni maji marefu kwa nchi zote za magharibi. Zelensky anajiuma uma hadi anatia huruma!!

Bakhmut exists ‘only in our hearts’, Zelenskyy says​

Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy appeared to confirm the loss of the city of Bakhmut to Russia when asked if it remained in Kyiv’s control.
“I think, no,” he said before a meeting with US President Joe Biden in Japan. “For today, Bakhmut is only in our hearts.”

Yaani Bakhmut ndo imekwenda hivyo, imebakia tu mioyoni!!
 
Tulia hapo hapo tumewapa updates tangu mlipoangukia pua pale Kyev
Mbona uzi wa Mgogoro wa Ukraine umeukimbia na kuja kuanzisha mwingine huku? Njoo kwenye uzi mama upate za uso. Mods huu uzi uunganishwe na ule unaohusika na mgogoro wa Ukraine.
 

Pole kipenzi cha mabwana zenu waarabu Hivi Putin hana washauri, katoa hongera, ngoma bado, jameni aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…