Bakhresa amzawadia mjukuu wake gari ya PORSCHE kwa ajili ya birthday yake

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Kupitia ukurasa wake wa Twitter mjukuu wa Bakhresa ametupia gari mpya aina ya Porsche aliyopatiwa na babu yake kama zawadi ya birthday.

Haya yametokea wakati kuna mabilionea wamesuasua kujinunulia kagari kama haka kwa bethidei kisa mapenzi ya timu ya mpira.
 
Mapato ya covid19 chanjo, ndiyo maana gwajigirl zimendatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…