JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
- Thread starter
- #101
Huyo jamaa hata hajui ku google achana nae .Bill Gates ana watoto watatu,wakike wawili na wakiume mmoja.
View attachment 1904590
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa hata hajui ku google achana nae .Bill Gates ana watoto watatu,wakike wawili na wakiume mmoja.
View attachment 1904590
Mimi na wewe nani ana matatizo sasa?[emoji15]Hahahaha Bill Gates ana one kid na ni msichana..
We jamaa una matatizo
Bill Gates son zahahahahahahaha
Kuna uzi kwa ajili yenu mashoga mahali nenda ukajinadi.Nawewe ukitaka gari tunakupa tu sema JICHO ndo suala la msingi
we jamaa weweMatobo yao yote yako wazi tayari hapo[emoji23]
Na wewe nenda kachukue Lamborghini hapo Lumumba.Kumbe tuna birthday moja na huyo mjukuu
Mjukuu wangu yaani jana kukuomba hela ya sonyo leo hii unakuja kunisimanga mtandaoni?Huu ndio ubabu mwema sio babu kila siku unatuomba omba pesa za sigara & ugoro
Maneno ya mkosaji.mtateseka sana na umasikiniWawashukuru wanasiasa mafisadi waliowekeza kwake miaka ya 80 na kuendelea
Ukitaka kujengewa Zahznati au shule... nenda ofisini kwa SSB na maombi yako utajengewa..
Nissan Patrol V8 moja ya gari kali sana ya kitajiri.
Hahahaha Bill Gates ana one kid na ni msichana..
We jamaa una matatizo
Na wewe nenda kachukue Lamborghini hapo Lumumba.
Hahaha...vibarua 4k + 2k za usafiri na 3K posho na maji ya uhai bure juice bure...Nyambavuuu wee!!Huku vibarua kiwandani akiwalipa buku 4 kwa siku.
MmhHahaha...4k + 2k za usafiri na 3K posho na maji ya uhai bure juice bure...Nyambavuuu wee!!
WafNyakazi wengine Flat na mikono bure...
😄😄😄😄 hao ndio matajiri wetu.Hahaha...4k + 2k za usafiri na 3K posho na maji ya uhai bure juice bure...Nyambavuuu wee!!
WafNyakazi wengine Flat na mikono bure...
Haswa tajiri kama SSBakhressa/Azam ni muungwana,mstaarabu na mchapa kazi 24/7 mlipa kodi haijawahi tokea.. Mungu yupo nae..😄😄😄😄 hao ndio matajiri wetu.
😄😄😄😄 aisee.Haswa tajiri kana SSB/Azam ni muungwana,mstaarabu na mchana kazi 24/7 mlipa kodi sijawahi tokea.. Mubgu yupo nae..