Anzia mwanzo wa thread utawaonaWakristo wangapi wameanza huo ubaguzi?
meanwhile other tanzanians hali ndio hii
Nimetokea huko nimekuta id moja tu.Anzia mwanzo wa thread utawaona
Sasa mbona unapost gari ya wenyewe. Mbona usipost baisikeli yako ya miaka kumi tuione?
Naamini Tanzania yangu itakuwa miongoni mwa nchi za mwanzo kutoka katika rangi nyekunduLakini yaani tumezungukwa na umaskini mtupu. Nyekundu kote kote
ebu nitajie list ya matajiri watano duniani afu niambie kati yao nani ni muislamu...tatizo nyie jamaa wa mudi sijui huwa mnamatatizo gani??kuna kila sababu ya kurudi shule ukaondoe tongotongo kidogo.waislamu ndiyo matajiri tangu karne ya 18,na ndiyo wafanya biashara
Hawa sub-saharans wenzetu wanaona taabu na mateso sana duniani. Dah, sijui ngozi nyeusi na nywele ngumu tulikosa nini ndo iwe hivyo.Lakini yaani tumezungukwa na umaskini mtupu. Nyekundu kote kote
Pamoja na kuwa hapo lakini wanaokufa njaa ni wengi kuliko watz, tukikataa kuwaizia mahindi mnapiga kelele. Sifa nyingine bana du du.....!!!!meanwhile other tanzanians hali ndio hii
Utajiri wa kufuga majiNiAsante Boya mwenzangu. Ni ukweli mtupu Waislam ni watu waaminifu na wachapakaz kwenye biashara. Tofaut na ndugu zetu Wagala eg. Mzinzi wa Mikocheni
Si mna utajiri wenu wa kufuga majini na kutoa makafarawaislamu ndiyo matajiri tangu karne ya 18,na ndiyo wafanya biashara
Kama mtu hutaki kujituma huwez kuondokana na umaskini ,uyo bakhersa analipa mishahara mizuri sana wafanyakaz wake...Hiki ni kiashiria cha ubovu wa uchumi wa Tanzania. The ever widening gap between wenye nazo na walala hoi.
Upo siriaz na hiyo coment au unatania???Hiki ni kiashiria cha ubovu wa uchumi wa Tanzania. The ever widening gap between wenye nazo na walala hoi.
Anasafirisha Azam Energy drink naona zimeenea hadi vijijini Kenya.Mizigo ya bakhresa naiona karibia kila siku matrailer karibia 20 kwa mpigo. Yanapita Nairobi-Namanga highway. Sasa sijui mnamaanisha nini mnaposema wakenya wanawabania.
Kweli, hapo kwenye marketing aliweza. Wala wakenya hawana ubaguzi wa aina yeyote ile. Bidhaa yeyote ambaye ni practical kwenye bei na quality hawawezi ibagua eti kwasababu ni made in tz. Supply na distribution aliwaachia wakenya watumie channels wanazotumia kuuza bidhaa zingine za Kikenya. Azam Energy drink ina umaarufu sana kule vijijini wala sioni ikipata competition hivi karibuni.Anasafirisha Azam Energy drink naona zimeenea hadi vijijini Kenya.
Umeongea kama watu kumiHiki ni kiashiria cha ubovu wa uchumi wa Tanzania. The ever widening gap between wenye nazo na walala hoi.
Hiki ni kiashiria cha ubovu wa uchumi wa Tanzania. The ever widening gap between wenye nazo na walala hoi.