Bakhresa car collections

Bakhresa car collections

meanwhile other tanzanians hali ndio hii
Africa-UN.jpg

Lakini yaani tumezungukwa na umaskini mtupu. Nyekundu kote kote
 
waislamu ndiyo matajiri tangu karne ya 18,na ndiyo wafanya biashara
ebu nitajie list ya matajiri watano duniani afu niambie kati yao nani ni muislamu...tatizo nyie jamaa wa mudi sijui huwa mnamatatizo gani??kuna kila sababu ya kurudi shule ukaondoe tongotongo kidogo.
NB.hakuna mahusiano yoyote kati ya dini ya mtu na utajiri aliokuwa nao.
 
Lakini yaani tumezungukwa na umaskini mtupu. Nyekundu kote kote
Hawa sub-saharans wenzetu wanaona taabu na mateso sana duniani. Dah, sijui ngozi nyeusi na nywele ngumu tulikosa nini ndo iwe hivyo.
 
Hiki ni kiashiria cha ubovu wa uchumi wa Tanzania. The ever widening gap between wenye nazo na walala hoi.
 
Hiki ni kiashiria cha ubovu wa uchumi wa Tanzania. The ever widening gap between wenye nazo na walala hoi.
Kama mtu hutaki kujituma huwez kuondokana na umaskini ,uyo bakhersa analipa mishahara mizuri sana wafanyakaz wake...
ata ivyo lengo sio kua tajiri kwa kila mtu, wengine walau waweze kujikimu tu na mahitaji muhimu inatosha
 
Mizigo ya bakhresa naiona karibia kila siku matrailer karibia 20 kwa mpigo. Yanapita Nairobi-Namanga highway. Sasa sijui mnamaanisha nini mnaposema wakenya wanawabania.
Anasafirisha Azam Energy drink naona zimeenea hadi vijijini Kenya.
 
Anasafirisha Azam Energy drink naona zimeenea hadi vijijini Kenya.
Kweli, hapo kwenye marketing aliweza. Wala wakenya hawana ubaguzi wa aina yeyote ile. Bidhaa yeyote ambaye ni practical kwenye bei na quality hawawezi ibagua eti kwasababu ni made in tz. Supply na distribution aliwaachia wakenya watumie channels wanazotumia kuuza bidhaa zingine za Kikenya. Azam Energy drink ina umaarufu sana kule vijijini wala sioni ikipata competition hivi karibuni.
 
Hiki ni kiashiria cha ubovu wa uchumi wa Tanzania. The ever widening gap between wenye nazo na walala hoi.

Haya yako ni mawazo ya kiujamaa, kuna mtu alinisimulia jinsi Bakhresa amepambana na maisha tangu akiwa fundi wa viatu (cobbler), aachwe afurahie jasho lake.
Halafu huyu Bakhresa amebuni nafasi nyingi sana za ajira na kuwasaidia vijana.
 
Back
Top Bottom