Tetesi: Bakhresa kuhamia Rwanda

Kama anafikiri kuhamishia Rwanda ndio atakwepa kodi asahau kabisa, Kagame hana simile na wakwepa kodi.
Kwa kifupi.
Kampuni ya Bakhesa ipo ktk nchi zifuatazo.
Uganda
Burundi
Mozambique
South Africa
Zimbabwe
Rwanda
Tanzania

South

Rwanda

Zimbabwe

Nacala Mozambique.
 
ila kijamaa kwenye pesa hakinaga utani..
nafuu ubake haki uingie madarakani kwa nguvu kwake si issue,au ufoji hati ya mahakama hilo ni jambo la kawaida kwake.
 

Amekuambia hakuna kodi kama huku.

Yawezekana amefanya upembuzi akaona akiwa Rwanda itamlipa zaidi.
 
Swadakta! Weka ramani tu faidi mipaka ya bahari ya jamhuri ya watu wa Zanzibar. Haki! Haki sawa kwa wote.
 
Bawacha kwanini mna mchukia huyu mzee...uongo mtaacha lini?
 
Alafu atakua hauzi Tanzania? si atakutana tena na foleni la mikodi akijaribu kuimport hizo bidhaa zake?
 
Kinondoni ina watu wangapi? Rwanda population ni 11M+
 
Kwa hiyo ajmbe akalale kisa hamjui Bakhresa sana,tuna safari ndefu kufikia maendeleo daaah.
 
Mkuu Rwanda kwa sasa inawatu million 12
 
AZAM hapa ndo nyumbani hana namna ya kukimbia we fikiria aiache kabisa Tanzania wa watu wake wanaopenda vitu vyake (bei nafuu) eti akaji-establish Rwanda.
 
Mlipa kodi namba moja mwaka upi?hata top 10 hayupo huyu na wazalendo wenzake wote.
 
Mkuu, una maana Rwanda hakuna kiwanda ambacho hakipo Tanzania?
 
Rwanda ndio kuna ukwepaji kodi?
Rwanda kuna matunda gani ya kufungulia kiwanda?
 
Auze huko huko.., akileta huku tz tunamtandika kodi Kama sheria inavyotaka.
 
mbona unalia lia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…