Tetesi: Bakhresa kuhamia Rwanda

Tetesi: Bakhresa kuhamia Rwanda

Z
Bila shaka wewe ni kati ya wanaopaswa kunufaika na elimu ya bure. Uhamishe kiwanda Tanzania upeleke Rwanda (yenye idadi ya watu sawa na wilaya ya kinondoni!) Kuanzisha kiwanda inategemea upatikanaji wa wateja, malighafi, urahisi wa nguvu kazi n.k jiulize Rwanda wana sifa zipi kuishinda Tanzania?

Zero tolorance to corruption, one stop investment centre, export oriented industrial base. Uwekezaji endelevu unaangalia zaidi investment climate na export markets sio soko la ndani.
 
Back
Top Bottom