Tetesi: Bakhresa kuhamia Rwanda


Ana magari kibao ameyasajili kwa namba za Rwanda.
 
Umasikini mbaya sana siku zote unamuombea alie nacho akose ili muwe sawa badala ya kumuombea afanikiwe ili akutie hasira ujaribu jivuta hata nusu yake
 
Sorry bi mkubwa naomba maana ya ufataani...! Mimi kiswahili sikijui vizuri.!
 

Mimi sina neno aende hata Kongo
 
HUMU WATU WANAAKILI SAANA AISEE SIKUTEGEMEA,THANX JF
 
Anapanua biashara zake na mpaka sasa kuna kampuni tanzu ya azam IPO Kigali wanazalisha ngano na juice .. Hapa analenga kupunguza gharama na kupata soko kubwa la bidhaa zake kwa nchi za Rwanda Burundi Congo na Africa ya kati pia na uganda
 
Bora ahame tu. Hawa Wahindi na Warabu wanatupelekesha sna hapa Bongo.
Yaani hata hatupumui vzr kisa wao, duuh!! Kule India wana waua ndg zetu bila hatia.

Tutakula Mihogo(Dr. W.P. Slaa 2015).
 
Afungue SUDANI KUSINI. Japo atalazimika kununua kontena kadhaa za SMG kila mfanyakazi akabidhiwe yake. Maana wale WANUBI watata sana
 
Kwani hicho kiwanda ndio kimeanza leo hadi kielemewe na kodi,kwa maana kodi ni zile zile zilizokuwepo tangia zamani sema tu kama hapo nyuma alikuwa haelemewi nakodikwa kuwa alikuwa halipi na sasa ni ''ukinunua ....dai risiti''.kwa Kagame hakuna kukwepa kodi au kufanya biashara kiujanja ujanja.
 
Hata akihamia marekani pesa za kwake shida iko wapi?
 
Soma katiba ya Zanzibar utagundua kuwa zenji ni nchi yenye bendera, wimbo nk.
Kwani wewe hukumbuki walivyomkomalia Mzee Pinda, pale alipokanusha bungeni kuwa si nchi?
Ulaji wa urojo hauwezi Fanya nchi yenu kuwa nchi..
Zenji ni mkoa tu labda muungano ufe
 
Si viwanda tu hata wadau wengi sanaa including me have been scheming kuhamisha makazi ng'ambo huko i.e. canada or any other european country.

Hamna issue. Its just getting worse nd worse in here. Kama una properties we kua mpole tu ule rentals zako kimyaa.

Na kwanza huyo mzee ni multi-national ana viwanda nchi kibao atakachofanya yeye ni kuhamisha head quarters nchi nyingine kwenye makaratasi tu meaning his a/c books zitakua zinafungwa kwenye hyo nchi husika i.e. tax haven. Operations zingine zinaendelea kama kawa. Tehe

Makampuni kibao makubwa ya ulaya unakuta headquarters ziko Kenya..akili tu.
 


Afadhali ya Bongo, Rwanda hata wauza maji wanalipa kodi na kule hakuna ukwepaji hata kidogo. Na Rwanda ni nchi pekee inayofuatilia ulipaji kodi kwa makini, usipilipa kiama. Bakhresa alilelewa na marais waliopita, yeye badala ya kulipa kodi akawa anagawa sadaka kila ijumaa kuwafuta walalahoi jasho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…