Bakhresa muogope Mungu wako. Uwiano wa hasara ni mkubwa kuliko faida

Vipi kuhusu wewe uliyeandika huu Uzi,je umewahi fanikiwa kujenga walau madrasa moja hata ile ndogo ya kufundisha watoto 50?
 
Vipi kuhusu wewe uliyeandika huu Uzi,je umewahi fanikiwa kujenga walau madrasa moja hata ile ndogo ya kufundisha watoto 50?
Ndio,Ningekuwa na uwezo kama wa kwake basi ningejenga mpaka chuo kikuu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watu wa dini ni kichekesho cha ulimwengu kwelikweli. Dini zimekuja juzi hapo hata vitabu vyake vikaandikwa kwa utaalamu uliokuwepo kabla ya dini zenyewe halafu tasikia mtu aliyevimbiwa makande eti dini fulani imeleta hiki na kile
 

DOGO PAMBANA NA HALI YAKO.... TAFUTA PESA.
 
Halafu anawaua wananchi kwa kuwauzia bidhaa za kemikali kama vile juice na ukwaju vitu ambavyo havina uhalisia katika hali halisi. Anawatilia watu harufu za maembe na ukwaju kwenye vyakula jivyo ili kuwaua kwa makusudi. Mungu anamuaona.
Acha uongo na roho mbaya 😡. Hujawahi kunywa juice ya viwandani wewe? Mimi nina zaidi ya 10 yrs nakunywa juice za Azam, grant malt, coco pine, embe juice n.k hayo madhara mbona siyaoni? Kwa uelewa wangu yawezekana umeanzisha biashara ya kukamua juice ya miwa na wateja ni wachache hivyo hasara ni kila siku, tafuta share partner uwe unasindika pia ziizinishwe na TBL na TFDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…