Bakhresa muogope Mungu wako. Uwiano wa hasara ni mkubwa kuliko faida

Hata kama unaangalia mpira ikifika mida ya kuswali si unatoka unaenda kusali? Wangapi wanakuwa wamekaa tu lakini ikifika mida ya kuswali hawaendi? Kuangalia Mpira ni dhambi kwa waislam?
Ukiangalia mpira hutoka kwenda kuswali na ukiswali unawaza ule mpira pale ulipouwacha.Huko ni kumcheza shere Mungu.
Hata Bakhresa naye anamcheza shere Mungu kwa kujenga msikiti unaoingia watu 300 mpele ya uwanja anaotaka waingie watu laki 1.
Kwa kifupi mpira hauendani na ibada yoyote ile isipokuwa ni mwanya wa kuwakimbiza watu kwenye ibada na kuwatumbukiza kwenye madhambi tele ikiwemo kamari na ulevi
 
Sikia ndugu,wewe unamuona Bakhresa au Mo dewji ni mnyonyaji kwa vile tu ni watu maarufu ila kila mtu ana madhambi yake kwa kiwango chake nitakupa mfano.
Kwa mfano mitaani kuna vibaka wanaopora watu mali zao,kuna wanaovunja milango na kuiba je ni halali?
Haya mitaani kuna watoto yatima wewe uliwahi kuwakumbuka kuwapelekea hata kilo 3 za mchele?
Kuna watu mitaani wanakopa hela kwa mtu halafu wanapotea hawarudishi je hii ni halali?
Mifano iko mingi sema tu kwa vile Bakhresa ni tajiri unasahau kwamba na yeye ni binadamu unataka awe kama malaika
uhalifu mdogo mdogo ni mtambuka, hapo ni ngumu kuzuia

lakini sasa mtu mmoja kumiliki mali kupita kiasi, anazuia watu wengine kuondoka kwenye umasikini

na ndio maana kuna labor unions, matajiri wengi hawajali watu kivile
 
Ni kwa nini ukamfanyie kazi yeye kama unamuona ni mnyonyaji?kwa nini usianzishe mradi wako ili kuepukana na huo unaouita unyonyaji?Au kwa nini usipambane ukawa bilionea kama yeye kisha uwe mwokozi wa hao unaosema wananyonywa ili uwalipe mishahara mara 3 ya mshahara anaolipa bakhresa?
Au dini inatufundishe tuwe wanyonge na maskini wa kutupwa?
 
1. huwezi kuchagua sana kazi, zipo chache

2. huwezi kufika pale kwa 'kupambana' tu
 
Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.

Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.

Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.

Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.

Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
WE KAFIRI TULIA WW!MUACHE AFANYE BIASHARA MZEE WA WATU!PUMBAF
 
1. huwezi kuchagua sana kazi, zipo chache

2. huwezi kufika pale kwa 'kupambana' tu
1.Fanya biashara yako binafsi/mradi wako binafsi sio lazima uwe chini ya himaya ya mtu
2.Waliofika pale wana miguu mingapi?wana vichwa vingapi?ni binadamu kama wewe au lah?
Haya tufanye hautafikia level ya ubilionea ila utafikia level ya umilionea unajua utasaidia na kuokoa watu wangapi kutoka kwenye huo uliouita unyonyaji?
Je badala ya kupoteza muda kumlaumu mtu aliyechuma kwa juhudi zake je wewe hadi sasa umechukua hatua gani?umefanya juhudi gani angalau hata watoto wako wasije kuishi maisha kama yako ya kupoteza muda kuwalaumu watu wenye pesa kwa makasiriko halafu mtu mwenye unayemuongelea hata hakujui?
 
Siwalaumu, siwachukii.

Kusema kweli ningekuwa katika nafasi yao ningefurahi

Ila ukweli unabaki pale pale hakuna maadili kwenye ubepari, ujanja ni mwingi

Kinachohitajika ni sheria za kuwadhibiti tu, wakiwa wakubwa sana wanaendesha hadi serikali kama rostam aziz
 
I think its almost huwezi kua corporate bila kua crooked, lazima ule riba in the name of capital funds, lazima upindishe njia flani shortcuts flan lazima hence bribing, false financial reports kuongeza maslahi and so on. Ndo mana matajiri weng ni ma mafia

The old man is no exception, atleast anatoa misaada sana na naskia anatoa misaada mingi kimya kimya kuliko tunayoskia, good 4 him.
 
Huwa anagharamia na baadhi ya masheikh kwenda hija.Vyote hivyo vinagubikwa na uovu wa shughuli zake haramu kama kujenga viwanja vya mpira na kuwaendesha mamilioni ya watu kindumbwe ndumbwe cha kaangalia mechi za mpira na kucheza kamari.
Hatuchukii utajiri wake lakini aangalie sana anavyomalizia baada ya kuuza mikate na maji hapo mwanzo.
Wale wanaomtetea hapa wengi wao ni kupe tu na hawampendi kiukweli.Wengine ni watu hawajui hata wema na ubaya ni upi.
 
Hapa hatumtetei kwa kusema yeye ni msafi asilimia 100 la hasha kwa sababu yeye sio malaika ila tunachofanya hapa tunajaribu kulinganisha madhambi wanayofanya maskini na madhambi anayofanya yeye tajiri kuna tofauti gani?ingekuwa kuwa maskini ndio kutenda haki mitaani kusingekuwa na kesi za ajabu za mara kwa mara kama za kuiba kuku,ukabaji,ubakaji,ulawiti,dhuluma,majungu,chuki,roho mbaya,uchawi si bora yeye yuko bize na mambo yake
 
Mengi ya hayo yanachochewa na matendo ya matajiri.Watu wanaiba na kucheza kamari ili wakashuhudie anachokitangaza Bakhresa kwa nguvu kwenye runinga.
 
Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.

Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.

Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.

Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.

Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Hii nchi inawatu wa ajabu sana 😁😁
 
I think its almost huwezi kua corporate bila kua crooked, lazima ule riba in the name of capital funds, lazima upindishe njia flani shortcuts flan lazima hence bribing, false financial reports kuongeza maslahi and so on. Ndo mana matajiri weng ni ma mafia

The old man is no exception, atleast anatoa misaada sana na naskia anatoa misaada mingi kimya kimya kuliko tunayoskia, good 4 him.
Misaada yake mengine haiendani na haja halisi za watu.Na hana watu wazuri wa kumshauri.
Sijui ni nani aliyemshauri kujenga viwanja vya mpira badala ya kuwaunga mkono wafanyabiashara wa kiislamu kwanza au kuendeleza masuala ya kielimu.
 
Back
Top Bottom