Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #241
Ukiangalia mpira hutoka kwenda kuswali na ukiswali unawaza ule mpira pale ulipouwacha.Huko ni kumcheza shere Mungu.Hata kama unaangalia mpira ikifika mida ya kuswali si unatoka unaenda kusali? Wangapi wanakuwa wamekaa tu lakini ikifika mida ya kuswali hawaendi? Kuangalia Mpira ni dhambi kwa waislam?
Hata Bakhresa naye anamcheza shere Mungu kwa kujenga msikiti unaoingia watu 300 mpele ya uwanja anaotaka waingie watu laki 1.
Kwa kifupi mpira hauendani na ibada yoyote ile isipokuwa ni mwanya wa kuwakimbiza watu kwenye ibada na kuwatumbukiza kwenye madhambi tele ikiwemo kamari na ulevi