T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Mambo ya utafutaji wanaleta imani za mbinguni wakati mwasisi yeye alipenda kwenye hela. Kama haibi, hauzi drugs, hadhurumu watu, havunji sheria za nchi mambo ya imani muachie mwenyewe.Hawa jamaa wanapenda unafiki sana, wakati mtu wao ndiyo master.
SureMambo ya utafutaji wanaleta imani za mbinguni wakati mwasisi yeye alipenda kwenye hela. Kama haibi, hauzi drugs, hadhurumu watu, havunji sheria za nchi mambo ya imani muachie mwenyewe.
Tafuta hela nyang'au weweKatika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu.Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate.Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki,Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akinamama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio.Na kwa upande wa akinababa unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone.Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima,basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai.Biiashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Mkuu unateseka ukiwa wapi?Mfumo wa kibepari hauna huruma.
Ili kutengeneza faida lazima unyonye watu
Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu.Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate.Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki,Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akinamama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio.Na kwa upande wa akinababa unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone.Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima,basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai.Biiashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Akili ndogo uko wapi? Au upo chamwinoMkuu unateseka ukiwa wapi?
Huyo Jamaa yuko Brainwashed sana na hayo mavitabu ya Karne ya Saba.
Mpaka haelewi kipi ni fact na kipi fiction.
Wewe ni moja ya jitu lisilokuwa na akili na ni hasara sana kuzaliwa yaani ni bora ndomu ingetumika ua maza wako wangetoa au faza agemwaga nje. Ni hasara sana kuwa na jitu ka wewe. Umeleta uzi wa kijinga wenye wivu na hata ktk dini yetu ya Kiislamu umeandika ujinga sana.Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu.Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate.Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki,Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akinamama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio.Na kwa upande wa akinababa unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone.Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima,basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai.Biiashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
unamfahamu huyu mtoa mada? Ni yule jamaa alikua anavaa bukta badala ya suruali anajina kama la mbunge wa kusiniMzee lea tu wajukuu usiumize sana akili
πππ yule mwendo kasi wa kipindi kile pale shaurimoyo?unamfahamu huyu mtoa mada? Ni yule jamaa alikua anavaa bukta badala ya suruali anajina kama la mbunge wa kusini
Wewe mchawiKatika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu.Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate.Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.