Bakhresa muogope Mungu wako. Uwiano wa hasara ni mkubwa kuliko faida


Mzee ameacha kila mtu aamue nini atafanya na nafsi yake. Yeye hajalazimisha mtu. Kwanini kumuhukumu? Mpira unaenda mwenyewe banda umza halafu dhambi apate yeye. Haipo hivyo. Kila mtu anabeba furushi lake
 
Kupanga ni kuchagua, mwana kulitafuta mwanakulipata, maana yake kuwa Washa TV angalia vipindi vya dini usiangalie Mpira kama vile ulivyonunua Bando la Internet na kuja hapa JF na hukwenda kwenye site za ngono. Lakini kumbuka asili ya bando ulilonunua ni kutoka katika Taifa kubwa linaloendesha vita duniani, umewachangia kuendeleza shughuli hiyo.
 
Waislamu wahafidhina wa aina yako mara nyingi wana hulka ya uvivu, na utawakuta muda wote wanashinda misikitini huku wakiwa wamevaa kanzu na kufuga ndevu nyingi!! Wanajifanya eti wanaswali na kumtumikia Allah!! Kumbe ni uvivu tu.

Mara nyingi hujikuta wameoa wanawake wengi kutokana na kujifanya kwao ni waswahilina, halafu mwisho wa siku wakishindwa kuwapatia mahitaji muhimu hao wake zao, oamoja na watoto lukuki wanao wazaa na hao wanawake walio wapata kupitia huo uswahilina wao.

Sheikh, badilika! Dunia inakimbia. Acha kuishi kwa mazoea. Wale ndugu zenu wa Uarabuni wanamiliki visima vya mafuta! Jiulize wewe hapo ulipo unamiliki nini! Ndiyo utakuja kugundua njia uliyo ichagua siyo sahihi, na hivyo Bahressa yuko sahihi. Tafuta hela Sheikh ili watoto wako wajivunie mafanikio yako.
 
Mforwadie na Faiza Foxy hii na The Boss, Malaria
 
Finally, someone who has read the history of the bandit-turned prophet, warlord Mohammad.
Mmoja ya watu wa hovyo zaidi kuwahi kuwa na influence.
 
Kwa hiyo anachofanya yeye hafati Quran na sunna. Na wewe kwa upande wako maisha yako yote ni kwa mujibu wa Quran na sunna.
Kwanini nikeamdika hays. Ni kwasababu asiye na hili ana lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…