Bakhresa muogope Mungu wako. Uwiano wa hasara ni mkubwa kuliko faida

Yani una muonya Bakhresa mtandaoni na wakati unatumia bando la Tsh 500 tafadhali acha ujinga
 
Hukumu hutoka kwa Allah sio kwa binadam.
 
Nenda kajenge msikiti na wewe! Unapiga hesabu madhambi ya watu kwani wewe ni Mungu?
 
Mambo mtu anayojifanyia chumbani kwake hatutakiwi kumchungulia na itakuwa ni uchaguzi wake kama ni wema au uovu.Haya anayofanya hadharani yakatuathiri na sisi yakiwa ni mabaya ni lazima kumuonya.
Sote ni wahanga wa mavitu niliyoyataja hapo juu.
 
Nenda kajenge msikiti na wewe! Unapiga hesabu madhambi ya watu kwani wewe ni Mungu?
Mungu ndiye aliyetujulisha yapi ni mema na yapi ni madhambi.Ingekuwa ni hivyo basi kusingekuwa na haja ya kuletwa mitume na watu kusoma dini wakapatikana wa kuwaonya wenzao.
Kanuni yako ni kanuni ya kishetani.
 
Makafiri ndo akina nani.Hao wanaofanya biashara haramu?
 
Madhumuni ni kumfikishia ujumbe mhusika.Huko kwengine wala hataona.Na kwa hakika mtu kama mimi siwezi kumfikia alipo na kama nikifika atanidharau kabla kunisikiliza.Masheikh wanaokwenda kwake wana shida zao na wale aliowaweka pale msikitini hawawezi kuinua mdomo kumshauri kama hivi.
Kama ni kutukana dini ipo zamani lakini dini inakwenda mbele.Kila matusi yao tukiyajibu kwa hoja na wao wanafahamu ukweli wa uislamu.
 
Maskini wana chuki sana dhidi ya matajiri. Bakhresa hajawahi kumlazimisha mtu kufanya hayo yote uliyoorodhesga hapo. Watu wanaangalia Mpira na Tamthilia kwa utashi wao wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…