byeyombo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 2,647
- 4,184
mbona hasira mkuu 🤣 🤣Makafiri ni ndugu zako na ukoo wenu shenzi type
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona hasira mkuu 🤣 🤣Makafiri ni ndugu zako na ukoo wenu shenzi type
Waislamu huwa wanakera wanaita wakristo makafiri mxiuumbona hasira mkuu 🤣 🤣
Yani una muonya Bakhresa mtandaoni na wakati unatumia bando la Tsh 500 tafadhali acha ujingaKatika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Mbona ni neno la kiarabu likiwa na maana ya wasiokuwa waislamu na sio wakristo tu!!Waislamu huwa wanakera wanaita wakristo makafiri mxiuu
Naam waambie ukweli. Ubepari is all about progit and efficiency, even if ikibidi unyonye watu au udanye ukatiliMfumo wa kibepari hauna huruma.
Ili kutengeneza faida lazima unyonye watu
Hukumu hutoka kwa Allah sio kwa binadam.Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Siyo kweli.Mfumo wa kibepari hauna huruma.
Ili kutengeneza faida lazima unyonye watu
Ukute kwenye familia wewe ndio tegemezi wa kutoa muongozo.
Yani umekaa chini kabisa ukaona hiki kinafaa kuandikwa.
Sijui unatambua kuwa nchi hii ina watu imani tofauti na ya kiislam?
Nenda kajenge msikiti na wewe! Unapiga hesabu madhambi ya watu kwani wewe ni Mungu?Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Mambo mtu anayojifanyia chumbani kwake hatutakiwi kumchungulia na itakuwa ni uchaguzi wake kama ni wema au uovu.Haya anayofanya hadharani yakatuathiri na sisi yakiwa ni mabaya ni lazima kumuonya.Kila mtu afanye anachoona kwake kina mashiko ilimradi havunji sheria za nchi. Dhambi au wema vinamhusu yeye na Mungu, vinginenevyo ni kuingilia yasiyokuhusu.
Hao wanaoangalia nani kawalazimisha? Nani kakwambia kujenga msikiti ndio tiketi ya kwenda mbinguni?
Acha Bakheresa anachoona kinamfaa.
Vipi kama hana mpango wa kwenda mbinguni, mbona unamchagulia bhana.
Mungu ndiye aliyetujulisha yapi ni mema na yapi ni madhambi.Ingekuwa ni hivyo basi kusingekuwa na haja ya kuletwa mitume na watu kusoma dini wakapatikana wa kuwaonya wenzao.Nenda kajenge msikiti na wewe! Unapiga hesabu madhambi ya watu kwani wewe ni Mungu?
Makafiri ndo akina nani.Hao wanaofanya biashara haramu?Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Madhumuni ni kumfikishia ujumbe mhusika.Huko kwengine wala hataona.Na kwa hakika mtu kama mimi siwezi kumfikia alipo na kama nikifika atanidharau kabla kunisikiliza.Masheikh wanaokwenda kwake wana shida zao na wale aliowaweka pale msikitini hawawezi kuinua mdomo kumshauri kama hivi.Umeongea jambo sahihi katika eneo lisilo sahihi.
Maambo kama haya ya kiimani kuyaleta JF kwa watu wenye imani tofauti basi tegemea kuharibu na sio kujenga.
Hapa utafanya watu watukane dini ya uislamu na wafuasi wake
Mambo kama haya peleka kwenye website au magroup ya dini ya kiislamu