Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaipongeza kampuni ya Azam Marine kwa kuleta boti mpya na ya kisasa Kilimanjaro V. Hongera sana Azam Marine kwa kuboresha usafiri wa majini Tanzania. Tunaomba muanzishe na kampuni ya mabasi ya kisasa. Mungu azidi kuwabariki.
Mkuu huyu jamaa ni habari nyingine kabisa,yupo vizuri sana kwenye kuwekeza kwenye Fursa.Na hanunu mitumba.Naamini wakipewa hata tender ya usafiti Dar es salaam iwe mabasi au hata treni itakapokuja kuwa, watatuweka katika standard nzuri. Angalia wanavyoboresha TV yao. Utafikiri ya kimataifa. Wanatoa changamoto tosha kwa kila nyanja ya biashara wanayogusa. Hekp Bahkressa.
Naamini wakipewa hata tender ya usafiti Dar es salaam iwe mabasi au hata treni itakapokuja kuwa, watatuweka katika standard nzuri. Angalia wanavyoboresha TV yao. Utafikiri ya kimataifa. Wanatoa changamoto tosha kwa kila nyanja ya biashara wanayogusa. Hekp Bahkressa.
Tunaipongeza kampuni ya Azam Marine kwa kuleta boti mpya na ya kisasa Kilimanjaro V. Hongera sana Azam Marine kwa kuboresha usafiri wa majini Tanzania. Tunaomba muanzishe na kampuni ya mabasi ya kisasa. Mungu azidi kuwabariki.
Mkuu huyu jamaa ni habari nyingine kabisa,yupo vizuri sana kwenye kuwekeza kwenye Fursa.Na hanunu mitumba.
Boat zake zoote ni Brand New.
Issue ya kuingia kwenye Biashara ya Mabasi alisitisha,maana kuna habari za chini chini zilizagaa kwamba alitaka kuagiza mabasi 200 ya kisasa,na kushusha bei ya usafiri,lakini nasemekana wadau wengine ambao wengi ni wa kuunga unga wakapenyeza yao kisha issue ikayeyuka.
Yeye hana fitna na mtu,akiona sehem ipo wazi anaingiza bidhaa.
Mnaotaka Picha ngoja tusubiri AZAM TV kwenye Kipindi Cha Alasir Lounge kama wataleta hii habari
Maalim seif anasema CUF ikichukua nchi atavunja muungano na sisi tunasema muungano ukivunjika bhakresa atakuwa mpemba wa kwanza kurudishwa kwao hizo boti zitakuwa zinafanya safari ya unguja na pemba.
Maalim seif anasema CUF ikichukua nchi atavunja muungano na sisi tunasema muungano ukivunjika bhakresa atakuwa mpemba wa kwanza kurudishwa kwao hizo boti zitakuwa zinafanya safari ya unguja na pemba.