Bakhressa ashusha boti mpya Kilimanjaro V

maswenga

Member
Joined
Nov 10, 2007
Posts
69
Reaction score
30
Tunaipongeza kampuni ya Azam Marine kwa kuleta boti mpya na ya kisasa Kilimanjaro V. Hongera sana Azam Marine kwa kuboresha usafiri wa majini Tanzania. Tunaomba muanzishe na kampuni ya mabasi ya kisasa. Mungu azidi kuwabariki.
 
Mkuu, kapicha basi nasie japo tuitie machoni.
 
Hapo kwenye usafiri wa mabasi umenena mkuu waone haja ya kuanzisha maana sie wa bara tunaishia kuziona kwenye pic tu ...nawe leo hujashusha picha basi tabu tupu....mkuu tupia na ka obliq kamoja
 
Mkuu tupiamo hata ka picha

9k=
 
mzigo umedondoshewa bandari ya Zanzibar ni huu hapa
 
Naamini wakipewa hata tender ya usafiti Dar es salaam iwe mabasi au hata treni itakapokuja kuwa, watatuweka katika standard nzuri. Angalia wanavyoboresha TV yao. Utafikiri ya kimataifa. Wanatoa changamoto tosha kwa kila nyanja ya biashara wanayogusa. Hekp Bahkressa.
 
Tupiamo? Huyu lazima atakuwa wa kanda ya ziwa
 
Naamini wakipewa hata tender ya usafiti Dar es salaam iwe mabasi au hata treni itakapokuja kuwa, watatuweka katika standard nzuri. Angalia wanavyoboresha TV yao. Utafikiri ya kimataifa. Wanatoa changamoto tosha kwa kila nyanja ya biashara wanayogusa. Hekp Bahkressa.
Mkuu huyu jamaa ni habari nyingine kabisa,yupo vizuri sana kwenye kuwekeza kwenye Fursa.Na hanunu mitumba.
Boat zake zoote ni Brand New.

Issue ya kuingia kwenye Biashara ya Mabasi alisitisha,maana kuna habari za chini chini zilizagaa kwamba alitaka kuagiza mabasi 200 ya kisasa,na kushusha bei ya usafiri,lakini nasemekana wadau wengine ambao wengi ni wa kuunga unga wakapenyeza yao kisha issue ikayeyuka.

Yeye hana fitna na mtu,akiona sehem ipo wazi anaingiza bidhaa.

Mnaotaka Picha ngoja tusubiri AZAM TV kwenye Kipindi Cha Alasir Lounge kama wataleta hii habari
 
Mkuu hawa ndio wazawa wa ukweli wanafanya yale yanayooneka na wanayoyaweza ,hata siku moja haijawahi kulilia kitalu Cha gesi maana anajua hawezi huo mziki
 
Tunaipongeza kampuni ya Azam Marine kwa kuleta boti mpya na ya kisasa Kilimanjaro V. Hongera sana Azam Marine kwa kuboresha usafiri wa majini Tanzania. Tunaomba muanzishe na kampuni ya mabasi ya kisasa. Mungu azidi kuwabariki.

Lakini Bado ni Mwarabu/Muhindi!

Mkuu huyu jamaa ni habari nyingine kabisa,yupo vizuri sana kwenye kuwekeza kwenye Fursa.Na hanunu mitumba.
Boat zake zoote ni Brand New.

Issue ya kuingia kwenye Biashara ya Mabasi alisitisha,maana kuna habari za chini chini zilizagaa kwamba alitaka kuagiza mabasi 200 ya kisasa,na kushusha bei ya usafiri,lakini nasemekana wadau wengine ambao wengi ni wa kuunga unga wakapenyeza yao kisha issue ikayeyuka.

Yeye hana fitna na mtu,akiona sehem ipo wazi anaingiza bidhaa.

Mnaotaka Picha ngoja tusubiri AZAM TV kwenye Kipindi Cha Alasir Lounge kama wataleta hii habari

Halafu hawa waswahili ndio wanatunyonya halafu wakati huo hawataki ushindani ikifika mwezi wa 12 wanataka nauli ya 20000|= iwe 70000 huku wakidai magari ni machache
 
Maalim seif anasema CUF ikichukua nchi atavunja muungano na sisi tunasema muungano ukivunjika bhakresa atakuwa mpemba wa kwanza kurudishwa kwao hizo boti zitakuwa zinafanya safari ya unguja na pemba.
 
Heshima Bakhresa amethubutu ameweza hadi kujenga passengers terminals Dar na Zenj .
 
Hawa jamaa Azama wakiamia mwenye mabasi c itakua balaa mana ckuhiz mabasi yamechoka choka nakumbuka sana Enzi za Royal Scandinavian Scania zile sio hz michina youtube.
 
Maalim seif anasema CUF ikichukua nchi atavunja muungano na sisi tunasema muungano ukivunjika bhakresa atakuwa mpemba wa kwanza kurudishwa kwao hizo boti zitakuwa zinafanya safari ya unguja na pemba.

Akili za kifuu
 
Back
Top Bottom