Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
BAKITA LIVUNJWE IUNDWE TAASISI NYINGINE YA KUSHUGHULIKIA LUGHA NA UTAMADUNI WA KISWAHILI.
Baraza la kiswahili Tanzania liliundwa kwa sheria ya bunge tangu mwaka 67 likiwa Na majukumu mbalimbali ya kushughulikia kiswahili.
Baraza hili limepitia mafanikio kadha wakadha katika utekelezaji wamajukumu yake pamoja na changamoto ambazo zimesababisha kujikongoja katika utekelezaji wa majukumu yake, Na ndiposa ninaona ipo haja ya kuundwa kwa chombo kingine chenye nguvu Na ari mpya pamoja Na mamlaka kamili ya kushughulikia lugha ya kiswahili Na utamaduni wa mswahili.
FAIDA ZA KUUNDWA KWA CHOMBO KIPYA.
-Chombo hiki kitaweza kushughulikia lugha Na utamaduni kwa pamoja.
-Chombo hicho kitaondoa madhaifu yaliyopo katika Chombo cha sasa
-Chombo hicho kitaweza kuleta ushindani wakweli Na vyombo vingine vya ukuzaji lugha Na utamaduni vya nchi nyingine kama vile Taasisi ya Conscious Na shirika la British kanseli.
Pamoja Na hayo serikali inalojukumu la kuwezesha Chombo kiundwacho kiuchumi ili kiweze kutimiza majukumu yake kisasa.