Tatizo lingine la ndoa za siku hizi ni kwamba mabinti wengi hawapati mafunzo ya ndoa. Kwa mfano enzi zetu sisi kabla ya kwenda kwa mume kuna mafunzo binti unapewa na makungwi kabla ya harusi, nini wajibu wako katika ndoa. Kikubwa zaidi ni kwenda kumtunza mume wako. Umpende na umuheshimu. Ni tofauti kabisa na ndoa za sasa.
tatizo ni kuwa wanafundishwa mabint tu na kijana anakuja na mafunzo ya vijiweni,haiwezi kuwa sawa hata siku mojaTatizo lingine la ndoa za siku hizi ni kwamba mabinti wengi hawapati mafunzo ya ndoa. Kwa mfano enzi zetu sisi kabla ya kwenda kwa mume kuna mafunzo binti unapewa na makungwi kabla ya harusi, nini wajibu wako katika ndoa. Kikubwa zaidi ni kwenda kumtunza mume wako. Umpende na umuheshimu. Ni tofauti kabisa na ndoa za sasa.
duh!...
mie nadhani wanaofanya hayo,hawakuwa na mapenzi ya kweli na huyo mume,waliolewa sababu ya kujenga status au sababu wameona wenzao wameolewa...
wamepata kile walichokipata to satisfy their ego,ndio ndoa inakuwa almradi iende...
...ukweli kama mtu unampenda kutoka moyoni hutomchoka!:redfaces:
Ndoa jamani zina mambo yake. Nadhani kuta, dari, makabati na vingine vinavyokuwa kwenye vyumba vya wanandoa vingekuwa vinazungumza tungesikia habari za ajabu kabisa. lakini jambo la msingi ni kutatua tatizo linapojitokeza na si kwenda kushitaki sijui kwa mshenga, padri, shekhe sijui matron au best man.
Kuna penzi kuchuja......................usisahau........................
nani analichujisha sasa???...nadhani ukifatilia utagundua kulikuwa hamna mapenzi ya kweli from the very beggining...!:redfaces:
Tatizo lingine la ndoa za siku hizi ni kwamba mabinti wengi hawapati mafunzo ya ndoa. Kwa mfano enzi zetu sisi kabla ya kwenda kwa mume kuna mafunzo binti unapewa na makungwi kabla ya harusi, nini wajibu wako katika ndoa. Kikubwa zaidi ni kwenda kumtunza mume wako. Umpende na umuheshimu. Ni tofauti kabisa na ndoa za sasa.
Nakubaliana nawe, siku hizi watu wameweka masuala ya kitchen party eti ndo mafunzo ya ndoa kumbe hakuna lolote zaidi ya biashara na starehe tu watu wale wanywe.. hakuna funzo hata moja ... funzo mbele za watu?? funzo wewe na kungwi tu chumbani... yoooooooooooote
Hivi kwenye kitchen party, wanajifunza nini vile?Tatizo lingine la ndoa za siku hizi ni kwamba mabinti wengi hawapati mafunzo ya ndoa. Kwa mfano enzi zetu sisi kabla ya kwenda kwa mume kuna mafunzo binti unapewa na makungwi kabla ya harusi, nini wajibu wako katika ndoa. Kikubwa zaidi ni kwenda kumtunza mume wako. Umpende na umuheshimu. Ni tofauti kabisa na ndoa za sasa.
Nakubaliana nawe, siku hizi watu wameweka masuala ya kitchen party eti ndo mafunzo ya ndoa kumbe hakuna lolote zaidi ya biashara na starehe tu watu wale wanywe.. hakuna funzo hata moja ... funzo mbele za watu?? funzo wewe na kungwi tu chumbani... yoooooooooooote
Nakubaliana nawewe sana. Nina demu, amehudhuria kitchen party zaid ya 5 kutoka niko nae na hamna kitu alichookota. This time i told her sitaki kusikia maombi ya kitchen party tena