Bakora za wale walioolewa wazijua?

Bakora za wale walioolewa wazijua?

Tatizo lingine la ndoa za siku hizi ni kwamba mabinti wengi hawapati mafunzo ya ndoa. Kwa mfano enzi zetu sisi kabla ya kwenda kwa mume kuna mafunzo binti unapewa na makungwi kabla ya harusi, nini wajibu wako katika ndoa. Kikubwa zaidi ni kwenda kumtunza mume wako. Umpende na umuheshimu. Ni tofauti kabisa na ndoa za sasa.

.. na Tatizo lingine ni kwamba hayo mafunzo ya ndoa yanaegemea upande mmoja tu.. kwa mabinti, wakati ndoa ni ya watu wawili..
 
duh!...
mie nadhani wanaofanya hayo,hawakuwa na mapenzi ya kweli na huyo mume,waliolewa sababu ya kujenga status au sababu wameona wenzao wameolewa...
wamepata kile walichokipata to satisfy their ego,ndio ndoa inakuwa almradi iende...
...ukweli kama mtu unampenda kutoka moyoni hutomchoka!:redfaces:
 
Ndoa jamani zina mambo yake. Nadhani kuta, dari, makabati na vingine vinavyokuwa kwenye vyumba vya wanandoa vingekuwa vinazungumza tungesikia habari za ajabu kabisa. lakini jambo la msingi ni kutatua tatizo linapojitokeza na si kwenda kushitaki sijui kwa mshenga, padri, shekhe sijui matron au best man.
 
Tatizo lingine la ndoa za siku hizi ni kwamba mabinti wengi hawapati mafunzo ya ndoa. Kwa mfano enzi zetu sisi kabla ya kwenda kwa mume kuna mafunzo binti unapewa na makungwi kabla ya harusi, nini wajibu wako katika ndoa. Kikubwa zaidi ni kwenda kumtunza mume wako. Umpende na umuheshimu. Ni tofauti kabisa na ndoa za sasa.
tatizo ni kuwa wanafundishwa mabint tu na kijana anakuja na mafunzo ya vijiweni,haiwezi kuwa sawa hata siku moja
 
duh!...
mie nadhani wanaofanya hayo,hawakuwa na mapenzi ya kweli na huyo mume,waliolewa sababu ya kujenga status au sababu wameona wenzao wameolewa...
wamepata kile walichokipata to satisfy their ego,ndio ndoa inakuwa almradi iende...
...ukweli kama mtu unampenda kutoka moyoni hutomchoka!:redfaces:

Kuna penzi kuchuja......................usisahau........................
 
Ndoa jamani zina mambo yake. Nadhani kuta, dari, makabati na vingine vinavyokuwa kwenye vyumba vya wanandoa vingekuwa vinazungumza tungesikia habari za ajabu kabisa. lakini jambo la msingi ni kutatua tatizo linapojitokeza na si kwenda kushitaki sijui kwa mshenga, padri, shekhe sijui matron au best man.

Very true.................................................................
 
nani analichujisha sasa???...nadhani ukifatilia utagundua kulikuwa hamna mapenzi ya kweli from the very beggining...!:redfaces:

Penzi na chuki ni ndugu kwa hiyo usishangae pale ambapo wapendanao.....................ndiyo wa kwanza kugombana.................na ukiona mtu hamjawahi kukorofishana ni kwa sababu mpo mbali kimahusiano hata kama mwalala kitanda kimoja........................Penzi lilikuwepo lakini limechuja na linahitaji kusisimuliwa kwa upya vile...............................
 
Visa vyote hivyo toka kwa mwanamke ni kukosa maarifa.Kutumia dalili na visa ni upumbavu mtupu.Hata kutafuta Bwana nje does not help anyhthing.lililopo tafuta solution na siyo kulalama na kuishia kugawa tunda la mwenzi wako nje kwa starehe za mashaka na ikitokea kubainika majuto mjukuu.
 
Tatizo lingine la ndoa za siku hizi ni kwamba mabinti wengi hawapati mafunzo ya ndoa. Kwa mfano enzi zetu sisi kabla ya kwenda kwa mume kuna mafunzo binti unapewa na makungwi kabla ya harusi, nini wajibu wako katika ndoa. Kikubwa zaidi ni kwenda kumtunza mume wako. Umpende na umuheshimu. Ni tofauti kabisa na ndoa za sasa.

Mhh wewe na hao makungwi wako wa zamani ndo mliendekeza unyanyasaji wa wanawake, hapo kwa sasa ni zilipendwa kuwafanya wanawake vyombo vya starehe, yaani umfanyie maudhi utake amtunze mume kwa moyo mkunjufu?? Hata unyumba hauwezi kwenda usitudanganye.
 
Nakubaliana nawe, siku hizi watu wameweka masuala ya kitchen party eti ndo mafunzo ya ndoa kumbe hakuna lolote zaidi ya biashara na starehe tu watu wale wanywe.. hakuna funzo hata moja ... funzo mbele za watu?? funzo wewe na kungwi tu chumbani... yoooooooooooote
 
Huu ni ukweli kabisa......na hujaweka chumvi hata chembe
 
Tatizo lingine la ndoa za siku hizi ni kwamba mabinti wengi hawapati mafunzo ya ndoa. Kwa mfano enzi zetu sisi kabla ya kwenda kwa mume kuna mafunzo binti unapewa na makungwi kabla ya harusi, nini wajibu wako katika ndoa. Kikubwa zaidi ni kwenda kumtunza mume wako. Umpende na umuheshimu. Ni tofauti kabisa na ndoa za sasa.
Hivi kwenye kitchen party, wanajifunza nini vile?
 
Duh mkuu yote tisa, ila ile YA KUNYIMWA UNYUMBA mzee haifai! Maana unakiona KITUMBUA KILEEE, ILA ukipeleka mkono unakumbana na bao la nguvu. Wakati mzee Asumani Kichwa wazi yuko gado ile mbaya. Unaambulia kushika v..........................zi tu.

Hapo ujue ndio mwisho bora na ww uangaze anga nyingine tu.

Halafu ukiwa umelala unasikia SMS zinamiminika km mvua, lakini huruhusiwi kugusa simu duuuuuuh.

mara unaona wife anaenda ****** na simu, unavizia na kusikia " ok hny i love u" duuuuuh.

Hapo sasa usiku unauona km miaka 10!

mapenzi ni hatari jamani, na hasa ukiingiza mwili na roho yote!

mungu atunusuru.
 
Nakubaliana nawe, siku hizi watu wameweka masuala ya kitchen party eti ndo mafunzo ya ndoa kumbe hakuna lolote zaidi ya biashara na starehe tu watu wale wanywe.. hakuna funzo hata moja ... funzo mbele za watu?? funzo wewe na kungwi tu chumbani... yoooooooooooote

Nakubaliana nawewe sana. Nina demu, amehudhuria kitchen party zaid ya 5 kutoka niko nae na hamna kitu alichookota. This time i told her sitaki kusikia maombi ya kitchen party tena
 
hivi una habari hata humu JF kuna kitchen party zinaendelea mambo mengine ni mtu mwenyewe na ushirikiano uliopo baina ya nyinyi wawili kila siku tunajifunza mambo mapya kuna yale tunabeba mengine tunayaacha na mapenzi ili yawe matamu lazima yafanyiwe kazi lazima kuwe na communication nzuri baina yenu usitegeme mambo kudondoka hewani

Back
Top Bottom