Mayasa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 583
- 295
Tatizo lingine la ndoa za siku hizi ni kwamba mabinti wengi hawapati mafunzo ya ndoa. Kwa mfano enzi zetu sisi kabla ya kwenda kwa mume kuna mafunzo binti unapewa na makungwi kabla ya harusi, nini wajibu wako katika ndoa. Kikubwa zaidi ni kwenda kumtunza mume wako. Umpende na umuheshimu. Ni tofauti kabisa na ndoa za sasa.
.. na Tatizo lingine ni kwamba hayo mafunzo ya ndoa yanaegemea upande mmoja tu.. kwa mabinti, wakati ndoa ni ya watu wawili..