Bakuli la Yanga lipo pale pale

Ujenzi wa uwanja wa simba ni Public Issue lakini mchango ni private issue. Ninaogopa kuweka muamala niliotuma hapa hamkawii kutembezea bakuli watu.

Au wewe hupendi bakuli la yanga!?
Hivi Yanga ikitembeza bakuli si ndio faraja yako wewe mwanasimba? Mbona wewe ndio unaoteseka na Yanga kutembeza bakuli
 
Hivi Yanga ikitembeza bakuli si ndio faraja yako wewe mwanasimba? Mbona wewe ndio unaoteseka na Yanga kutembeza bakuli
Nchi ipo uchumi wa kati. Mnaidhalilisha nchi yetu. Ache u omba omba.
 
Wote ombaomba tu Simba mnazalisha nini kama si Mafuta ya kupikia na sabuni za Mo akiwachunia mnasambaratika tu.
 
Wote ombaomba tu Simba mnazalisha nini kama si Mafuta ya kupikia na sabuni za Mo akiwachunia mnasambaratika tu.
Mzee katika karne hii unauliza Simba inazalisha nini. Nenda pale mtaa wa msimbazi kariakoo kuna majumba yanayo iingizia simba mapato. Au unataka nikupatie somo!?
 
Sasahivi wameanza kuchezesha match za mchangani ili wapate chochote kwa ajili ya kuhudumia timu.. (mbuni FC vs yanga)
 
Nchi ipo uchumi wa kati. Mnaidhalilisha nchi yetu. Ache u omba omba.
Inaonekana vipigo inayvotoa Yanga uwanjani kwa timu pinzani vinakusononesha sana, kachangie uwanja huko ili upunguze malalamiko yako ya ubovu wa viwanja
 
Lengo la hizi nyuzi zako leo ni kutaka tu kujifariji, au ndiyo kutaka kujisahaulisha na majanga mnayopitia, huku mkiwa na Kocha wa Kimataifa kutoka Real Madrid?

Hivi unapata wapi nguvu ya kuijadili timu ambayo tangu ianze ligi, haijafungwa hata mechi moja! Na wakati huo huo ikiwa inaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 10!
 
Kwahyo Yanga haina pesa badae tusisiskie Yanga eti ananunua mechi
 
Hapa tunaongelea bakuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…