Bakuli la Yanga lipo pale pale

Bakuli la Yanga lipo pale pale

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
images (10).jpeg

Wasemavyo hahenga, masikini hasemwi na mwenye njaa hasutwi.

Leo napenda kuongelea tabia ya timu ya yanga kuwa ombaomba huku wakitembeza bakuli wachangiwe, bado lipo palepale.

Sasa limebadilishwa, linakuja kwa jina la kuchangia 29,000 kwa kila mwanachama. Hii ni dalili tosha kuonesha ukata mkubwa ulio ndani ya timu ya Yanga.

Kwa mawazo yangu GSM wameona hawa yanga hawana ubavu wa kutangaza bidhaa zao za magodoro, wameona wapige kolabo na timu zongine kama Azam fc, Namungo FC nk.

Kusema kweli tangu nizaliwe sijawahi kuona timu inadhaminia na kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa magodoro. Kama kuna mtu hapa anyoshe kidole anitajie timu nyingine tofauti na hizi za hapa Tanzania mdhamini wake anauza magodoro.

Tabia ya kuomba omba imekuwa ni jadi ya yanga, kwa sasa wamekuja na kisingizio cha kujiunga. Uanachama gani wa sh. 29,000? Hili ni bakuli la kisasa. Wameshindwa kutengeneza pesa kupitia magodoro sasa wameanza kuwanyanyasa watanzania
Yangu ni hayo tu.
 
Full nonsense!
 
Sijaona mchango wako kwenye ujenzi wa uwanja wetu wa Simba, Hebu tuma ela ya mchango kwanza Kisha ndio uje humu jf kubwabwaja
 
29,000 kwa ajili ya Chiko,Aucho na mayele ili wasilete mchecheto wa kutaka kutoka na magodoro wameloeka maji
Kumbe ni hivyo. Basi Yanga ni timu ya washamba. Simba wanachanga kwa maendeleo wao wanachangisha ili wasiloweke magodoro. 🤣🤣🤣
 
Wasemavyo hahenga, masikini hasemwi na mwenye njaa hasutwi.

Leo napenda kuongelea tabia ya timu ya yanga kuwa ombaomba huku wakitembeza bakuli wachangiwe, bado lipo palepale.

Sasa limebadilishwa, linakuja kwa jina la kuchangia 29,000 kwa kila mwanachama. Hii ni dalili tosha kuonesha ukata mkubwa ulio ndani ya timu ya Yanga.

Kwa mawazo yangu GSM wameona hawa yanga hawana ubavu wa kutangaza bidhaa zao za magodoro, wameona wapige kolabo na timu zongine kama Azam fc, Namungo FC nk.

Kusema kweli tangu nizaliwe sijawahi kuona timu inadhaminia na kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa magodoro. Kama kuna mtu hapa anyoshe kidole anitajie timu nyingine tofauti na hizi za hapa Tanzania mdhamini wake anauza magodoro.

Tabia ya kuomba omba imekuwa ni jadi ya yanga, kwa sasa wamekuja na kisingizio cha kujiunga. Uanachama gani wa sh. 29,000? Hili ni bakuli la kisasa. Wameshindwa kutengeneza pesa kupitia magodoro sasa wameanza kuwanyanyasa watanzania
Yangu ni hayo tu.
Ushakua kama mbwa koko unaokoteza vistory visivyo na miguu wala kichwa
 
Ujenzi wa uwanja Simba ni public issue, tunaomba mchango wako, changia Simba kwa mafanikio ya Simba
Ujenzi wa uwanja wa simba ni Public Issue lakini mchango ni private issue. Ninaogopa kuweka muamala niliotuma hapa hamkawii kutembezea bakuli watu.

Au wewe hupendi bakuli la yanga!?
 
Back
Top Bottom