Pre GE2025 BAKWATA Arusha yamfanyia Dua Maalumu RC Makonda Ili aweze Kufanikiwa katika Malengo yake ya Uongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
NJAA MBAYA SANA,MUISLAM UNAHIMIMIZWA ILI UFANYE IBADA ZAKO KWA UHAKIKA YAPASWA KUUKIMBIA UMASKINI,AMA SIVYO UTAANGUKIA KWENYE UDHALILI NA UNYONGE.
Hivi mtu asiyeamini ktk Uislamu, unapomuombea kupitia dini asiyeamini inakuwaje?
Hii pia kwa waislamu wanaoombewa na wakisto ambao waislam pia hawamini ktk dini hiyo inakuwaje?
 
Mashekhe njaa wanasumbuliwa na njaa. Kanzu zinanuka ubundo wa njaa, wameamua kutafuta hela ya sabuni.
 
Ni jambo jema, kuombewa ni haki ya kila mtu utofauti ni yeye anapenda ma camera na kukaa kwenye spotlight.
 
Mama huyu mtu anayezurura huko Arusha humuoni ukatimlia mbali tu au ndio nanyie mnazipenda hizo drama. Mwezi sasa bado yupo kwenye maigizo tu. Hv mbona wakuu wa Mikoa wengine hawana huo upuuzi?
 
Mashekhe njaa wanasumbuliwa na njaa. Kanzu zinanuka ubundo wa njaa, wameamua kutafuta hela ya sabuni.
Respect viongozi wa dini ingine Mkuu hata kama huwapendi. Kila mtu akiponda viongozi wa dini isiyo yake nchi huingia kwenye machafuko.

Sheikh wa mkoa huwa hana njaa maana matajiri wote mkoani wa dini yake huwa nae karibu, misaada yote toka nje kuja mkoani inapita kwake, bakwata mkoa wako nae ili mradi njaa hawezi kuwa nayo labda waumini maskini.
 
Mashekhe njaa wanasumbuliwa na njaa. Kanzu zinanuka ubundo wa njaa, wameamua kutafuta hela ya sabuni.
Mbona Askofu Pengo naye nilimwona juzi juzi? Huyu jamaa kazi yake ni kurubuni watu wote wenye ushawishi halafu anapiga nao picha. Anajua kuwalaghai watu wajinga sana.
 
Mama huyu mtu anayezurura huko Arusha humuoni ukatimlia mbali tu au ndio nanyie mnazipenda hizo drama. Mwezi sasa bado yupo kwenye maigizo tu. Hv mbona wakuu wa Mikoa wengine hawana huo upuuzi?
Makonda haya ndiyo maisha yake. Siyo kiongozi bali ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kulaghai watu wajinga ambao Tanzania wako wengi kweli kweli.
 
Hivi mtu asiyeamini ktk Uislamu, unapomuombea kupitia dini asiyeamini inakuwaje?
Hii pia kwa waislamu wanaoombewa na wakisto ambao waislam pia hawamini ktk dini hiyo inakuwaje?
Maombi kukubaliwa au kukataliwa hiyo inabaki kwa yule unayemuomba !
Anaweza akayakubali maombi au akayakataa kata kata !!

Kwa mfano kama uliwatendea maovu watu kwa makusudi ni lazima uwaombe wakusamehe hao watu wenyewe uliowatendea mabaya ndio Mungu pia atakusamehe !

Vinginevyo ni Kazi bure !
 
Bashite kapatwa na nini? Kwani Dua aliloombewa na MUFTI halina nguvu mpaka akaombewe na sheikh ambaye ni mdogo kwa MUFTI?
 
Sheikh wa mkoa huwa hana njaa maana matajiri wote mkoani wa dini yake huwa nae karibu, misaada yote toka nje kuja mkoani inapita kwake
Kwahiyo huwa wanakula hela za misaada? Huu si ni ufisadi? Unaruhusiwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…