BAKWATA iingilie kati uvaaji wa wanawake wakiwa JKT

Yani kwamba unataka wakapige kwata wamevaa mahijabu alafu wavae na nguo za kuwafunika mwili🤔🤔 pale sio msikitini Wala sio kwenye muhadhara wa kidini, kama mnaona hizo Sheria ni za hovyo msipeleke watoto wenu kule, hiyo dini yenu imewatia upofu kupitiliza sasa
 
Tukaja na muswada wa Mahakama ya kadhi, WEEE ilileta shida ile mpaka tukajilaumu. Yaani jambo dogo TU wagalatia walipaniki kweli.
 
Siku ya kupokelewa JKT mnaambiwa vitu vitatu mviache getini hapo kabla ya kuingia:
1.Elimu yako.
2.Dini yako.
3.Kabila lako.
 
Uko JKT kuna shida mbona tarifa za kijeshi zinatoka sana mda huu shida nini ebu kaaeni chini mchunguze kwenye uongozi wa JKT kuna viongozi hawapo sawa

JKT haijaanza leo, haya mambo yapo mda sana iweje leo watu waje na hoja za ajabu ajabu mara watoto wananyanyaswa kesho yataibuka manitowoc hapa in his italianate cause kwenye mafunzo kuna mengi hutokea kwakua ni masuala ya kijeshi yanabaki uko uko sasa endeleeni kuchekeana chekeana uko vikosini
 
Tatizo mnataka kuingiza mambo ya dini Kila mahali

Jeshini hakunaga mambo ya dini kwenye itifaki zake.
 
Hayo ni mafunzo, wananyolewa kwa sababu ya usafi wao. Elewa mafunzo ya JKT sio ya kukaa darasani masaa yote, hijabu la nini kwenye mafunzo ambayo unachafuka muda mwingi?
 
Wanataka kugeuza muonekano wa askari wa jeiwii uwe wa ki alshabab!! [emoji1][emoji1]

Soon watataka wafuge ndevu na kuvaa kobazi!!badala ya ndula ya jeshi iliyopigwa kiwi[emoji1]

Soon unamkuta Major wa jeshi kavaa full Kombat na tasbihi mkononi.

Ndugu zetu demand zao sometimes zinachekesha sana[emoji1787]
 
Jeshi kwanza, dini ni hiari tu na kila mmoja ana ya kwake kwa namna yake.
 
Katika dini ya kiislamu wanawake hawaruhusiwi kunyoa nywele pia ni wajibu kwao kusitiri mwili mzima. Ukihitaji ushahidi unaeza patiwa sio ujinga kuzungumzia suala hili bali kuna group linaathirika kimyakiya

Kuna Mzee mmoja, alikuja hospital na mke wake mjamzito

Akagoma kabisa mke wake kuvuliwa nguo kupimwa

Anasema ni yeye Tu ndio anatakiwa kuona mwili wa mke wake

Hizi dini sometimes zinaturudisha nyuma sana
 
Katika dini ya kiislamu wanawake hawaruhusiwi kunyoa nywele pia ni wajibu kwao kusitiri mwili mzima. Ukihitaji ushahidi unaeza patiwa sio ujinga kuzungumzia suala hili bali kuna group linaathirika kimyakiya

Kuna Mzee mmoja, alikuja hospital na mke wake mjamzito

Akagoma kabisa mke wake kuvuliwa nguo kupimwa

Anasema ni yeye Tu ndio anatakiwa kuona mwili wa mke wake

Hizi dini sometimes zinaturudisha nyuma
 
Mnawezaje kumjibu majibu marefu huyu mweka mada..? Ati mnamwambia kabisa jeshini haitakiwi hijab!.. kwa mtu mwenye ufahamu makini hawezi kuuliza swali lakipuuzi hivi! Mweka mada we ni pimbi tu Usiekuwa na akili pana!
 
Mnatuchosha na post za kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…