DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Hivi nyie mnajikuta kina nani?Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.