atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Kuna hii clip nimeiona huko mitandaoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule ni jeshini ataenda na hijabu vitani?Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Walikuwa wana sherekea nini hapaKuna hii clip nimeiona huko mitandaoniView attachment 2654094
Hatari sana 🙏🏾Kuna hii clip nimeiona huko mitandaoniView attachment 2654094
Mada za kipuuzi kama hizi ndio zinfanya muda mwingine tuonekane wapuuziNimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Na wasipohudhuria madhara yake ni yapi?Kwa taarifa nilizonazo ni kuwa ni wajibu kuhushiria.
Mada yako ya hovyo sijawahi ona, jeshi liwe na udini sioNimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Huko Saudi Arabia hakuna mafunzo ya kijeshi? Kama yapo wanawake huvaa vipi?Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani waarabu hawana wanajeshi wanawake? Kama wapo basi mama aiuze JKT kwa waarabu ili waje waboreshe mavazi ya watoto wa kike jeshini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaa mnoooNakumbuka enzi hizo KANEMBWA kuna mlokole mmoja akitoka tu kula jioni anaenda kusali porini , punde si punde idadi ya waumini ikaanza kuongezea wakafika takriban 30 …jamaa wakatuma kikosi kazi kuwashughulikia mida ya sala ma-RP na MP wakawavamia wakawalamba viboko vya kutosha …kesho yake hakuna mtu aliyesogelea kanisa-pori
Wananyolewa na kuvuliwa na nani mtaje ili tumkamatevijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Jibu mujarab hiliWaambie waache kwenda JkT hawalazimishwi!
ACHA hizo!!Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
MKALI MWAMBA 😂Mzee, Serengeti wanatafunwa na karanga zaidi ya bazooka.
Wewe usiniambie hayo mambo, yapo?! ☺️Mkuu jeshini ubaeza kulazwa na dem shuka moja na isisimame kwa shuruba wanazopewa. So hakuna kutamani dem kule. Kwanza mnaoga matope nna vumbi za kutosha, dem unamwona sawa na mshkaji tu
We ulienda kufanya nini huko kwa wanawake? utakuwa unawaza ngono muda woteNimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.