BAKWATA iingilie kati uvaaji wa wanawake wakiwa JKT

serikali haina dini

kama mtaona hayo mavazi si vyema kwa vijana wenu msiwapeele,periodit

maana naona waislam mnataka kuingilia hata mambo ya serikali kwa kisingizio cha kutetea dini yenu

sio sawa HAIKUBALIKI
 
Hoja yako ina mantiki kubwa mkuu lakini tujiulize je serikali yetu ni ya kislamu au inaegemea kwenye upande wowote wa dini? kama haiegemegei kwenye dini yoyote basi .ya serikari tuiachie serikari ya Mungu tumwachie Mungu
Vp kuusu utalabu
 
Wee jamaa bwana ni na hovyo kinoma, jeshi linaongozwa na Mungu ambaye ndiye mkuu wa Majeshi, kule bwana hakuna dini ya kiislamu.

Kule tunatengeneza walinzi wa nchi na mipaka yake, hatutengenezi wafia dini, uislamu wako peleka huko.

Kule bwana ni kofia ya chuma, kombati, buti , na siraha, kule hakuna hijab, baraghashia, msuli na visuruali vifupi.
 
Katika dini ya kiislamu wanawake hawaruhusiwi kunyoa nywele pia ni wajibu kwao kusitiri mwili mzima. Ukihitaji ushahidi unaeza patiwa sio ujinga kuzungumzia suala hili bali kuna group linaathirika kimyakiya
USITULETEE UISLAM WENU KWENYE MAMBO YA SERIKALI NA NCHI AMBAYO YANA DINI NYINGINE

KAMA HAIKUPENDEZI USIPELEKE BINTI YAKO HUKO LAKINI HUWEZI UKAIPANGIA SERIKALI CHA KUFANYA KWA KUFATA ETI MISINGI YA DINI KWA INTEREST ZAKO

JE NA DINI NYINGINE ZIKIJITOKEZA NA MATAKWA YAO TUTAKUWA SALAMA KWELI
 
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.

Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.

Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Eti JKT tuu! Je wakiwa majumbani au mtaani ! Fala wewe acha ujinga wako wa kuweka maswala yako ya kipuuzi pimbi wewe!
 
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.

Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.

Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Jombaaaa Serikali haina Dini so tulia fuata utaratibu
 
Mzee, Serengeti wanatafunwa na karanga zaidi ya bazooka.
509186481017b8f259fbecfe7a498e7f.png

Wakati wenzao MWASHITA 🦁 wanagonga kikapu nchini MAREKANI 🇺🇸😂​
 
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.

Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.

Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Kazi ya jeshi ni mapambano,taifa halina dini

Tumia akili vizuri kabla ya kuandika
 
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.

Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.

Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Ukimaliza hili wambie Bakwata swala tano vipi jeshini mbona haifanyiki kwa mujibu wa dini. Ukimaliza waambie na wasabato mbona siku ya jumamosi kuruta anapiga fatiki kama kawaida?????

Mwisho taja wapi ulipo tuje tukupe bahasha ndogo kwa kukupa pole ya harakati unazozianzisha dhidi ya jeshi la Wanainchi.
😁😁😁😁😁
 
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.

Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.

Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Ni Jeshini au uraiani?
 
Mkuu kwa nchi yetu Jeshi halina dini. Ila ambacho sikuwahi kuona ni wanawake wakinyolewa nywele ila wanachosisitizwa ni kusuka.
 
Back
Top Bottom