BAKWATA iingilie kati uvaaji wa wanawake wakiwa JKT

BAKWATA iingilie kati uvaaji wa wanawake wakiwa JKT

Vp wakati wa ramadhani ulishafuatilia kama vijana wakislam wanapewa nafasi ya kufunga na kuswali?
 
Si mlisema kuonesha nywele haram, sasa mtu kanyoa para hizo nywele ziko wapi, acheni kucomplicate mambo watu wapige tizi wakihitimu hata wakitaka kusuka watasuka lakini lazima wavae kofia hijab jeshini kweli😂😂😂😂
 
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.

Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.

Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
mnaudini si poa.
 
Weka Vifungu vya hiyo Dini vinavyokataza Upara na Kaputura.... Maana Kaaba yenyewe kwa imani za Wapagani wa Mecca walikuwa wanalizunguka wakiwa Uchi na Mudy alikuwa akifurahia baada ya kumuona mwanamke mmjoa mashallah kajazia ana kishundu alafu alikuwa akiimba nyimbo nzuri akavutiwa nae akamla so waacheni wanajeshi kwani ni himaya yao huko kambini...
1687030063986.png

Wanawake wanauliza

Question​

I have decided to do Hajj this year, in sha Allah. I hope that you can give me some advice which will be of benefit to me during Hajj.
I would also like to ask this question: are there rulings that apply specifically to women during Hajj distinct from men?

Summary of answer​

Here are some Hajj rules for women: 1- It is not permissible to travel for Hajj without a mahram; 2- A woman may enter ihram in whatever clothes she likes; 3- it is haram for women in ihram to put on any kind of perfume.
Website wa kiislam islamqa.info
  1. It is haram for the muhrimah to wear the burqa’ or niqab

    She wore niqaab during Hajj; is there any sin on her?

    (kinds of face-veils), and to wear gloves, because the Prophet (peace and blessings of Allah be upon him) said: “Women (during Hajj) should not wear niqab or gloves.” Narrated by al-Bukhaari.
  1. It is haram for the muhrimah to remove any hair from her head or body by any means, and to clip the nails.
 
Kama kigezo ni kujiunga na chuo na wanaipenda elimu dunia na wafuate taratibu za huko,watatubia zambi zao maana Tanzania sio nchi ya kidini
 
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.

Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.

Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
safi sana ila hii tuifikishe kwa shura ya maimamu hao bakwata kazi yao ni kutangaza mwezi mwandamo tu
 
Kwani JKT imeanza leo? Utapiga kwata na hijabu? We kuweza?
 
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.

Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.

Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Ukipenda kazi ya jeshi, hakuna wa kukupeti peti 😂
 
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.

Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.

Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
No
 
Una matatizo ww sio bure unaleta udini jeshini,jeshini hakuna dini....
 
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.

Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.

Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Yaani mnataka taasisi zetu ziache taratibu zake zianze kufuata yadini zenu! Wewe kama unataka usiwapeleke huko.
 
Sasa unataka watoto wa kike wakapige kwata huku wamevaa hijab?! Is it practicable?

Hata wakivaa suruali najua kwenu itakuwa haitoshi, kwasababu bado maumbile yao yataonekana, sasa unataka wavae vipi?

Kosa lipo kwa serikali maana ingekua mtoto mweyewe anatuma jina kwenda JKT ndo ilitakiwa afate masharti ila waho ndo huchagua na ukichaguliwa inabidi kwenda so inabidi jkt waheshimu imani za watoto wanaowaita vinginevyo waweke willing kama wakitoa jina lako na usipojisikia kwenda ni unaacha na wasije kuleta vikwazo uko tamisemi
 
Hoja yako ina mantiki kubwa mkuu lakini tujiulize je serikali yetu ni ya kislamu au inaegemea kwenye upande wowote wa dini? kama haiegemegei kwenye dini yoyote basi .ya serikari tuiachie serikari ya Mungu tumwachie Mungu
Kwa haraka haraka nimeona comment za wengi humu hawaelewi kiundani hoja ya mtoa mada na uzito wa hiyo hoja. Ni kweli sio lazima kwenda jeshini kama career ila nadhani ni sheria kwa wahitimu wa form six kwenda huko ili wapate kigezo mojawapo cha kuajiriwa serikalini.

Kwa yote mawili ya career ama post form six requirement raia wote wanapaswa wawe na haki sawa ya kushiriki. Serikali haina dini na pia haipaswi kumvua mtu dini yake, so kumlazimisha binti wa kiislamu kuvua dini yake kimavazi na hata kumnyima haki yake ya kuabudu hii ni kinyume na katiba kwa kuwa watu wote ndani ya Tz wana haki ya kuabudu kwa imani zao. Napenda wasiokuwa waislamu waelewe kuwa Uislamu sio kusali tu bali ni mfumo mzima wa maisha ya mtu so hauwezi kumchagulia wewe kipi akifanye katika dini yake na kipi akiache.

Ili kuhakikisha raia wote wamepewa haki sawa nadhani kuna haja ya kuweka option ya usimamizi tofauti (Female only) na huo wa mchanginyo. Mwanamke wa kiislamu na wakikristo wanaweza kuchagua pande ya kujiunga katika hizo, then yule muislamu atakuwa na dharura ya kupunguza katika mavazi (ikiwemo kutovaa babaui) kwa kiwango kinachokubalika katika dini akiwa yupo na wanawake wenzake tu.

Hivi niulize tu, ni percentage ngapi ya female soldiers wanaoshiriki kwenye mapigano ya vita moja kwa moja?
 
Back
Top Bottom