TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Yaani ukitaka issue ya dini isimamie kila kitu inabidi iwepo serikali ya Kiislam au Kikristo.Katika dini ya kiislamu wanawake hawaruhusiwi kunyoa nywele pia ni wajibu kwao kusitiri mwili mzima. Ukihitaji ushahidi unaeza patiwa sio ujinga kuzungumzia suala hili bali kuna group linaathirika kimyakiya
Humo ndimo utaona askali (Ke) mafunzoni wote wamevaa hijab na nikabu wakilala chini, wakirukaruka, kupanda ukuta au kutambaa na tumbo wakiwa hivo unataka.
Hata Gaddafi alikuwa na walinzi (mabinti wa kiislam) wengine hadi wana sijjida ila walivaa kombati zinaonesha bastola (shape) zao sikuwahi kukuona ukimpinga ndg Gaddafi, kuwa anawadhalidhalisha.